Recent content by Mikhail Tal

  1. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania Nitapataje Yellow Fever Vaccine Certificate nipo Morogoro (Yellow Fever Card)

    aisee kweli ndugu yangu ni muda mrefu. 12 years sasa duh!
  2. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania Nitapataje Yellow Fever Vaccine Certificate nipo Morogoro (Yellow Fever Card)

    hahahaha au sio. miaka inakimbia
  3. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania ATCL Yasitisha Kwa Muda Safari za Ndege TC422 na TC423 Dar es Salaam–Moscow

    Lilikuwa ni swali relevant kabisa ambalo kama angelifikiria vizuri lingesaidia kuokoa hasara ya kuchoma mafuta kwenda Russia na kurudi ndege ikiwa tupu
  4. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania Philip Mangula: Magufuli alitaka kujiondoa kwenye mizunguko ya kutafuta wadhamini kisa wenzake walikuwa wanatoa pesa

    Kama namuona mzee magu alivyotimua akawaachia vumbi
  5. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania Dudubaya ajue Bwanaake Yesu alikaa na Mashoga na watoza ushuru. Alikuja kwaajili ya Mashoga na wenye dhambi. Aache kujifaragua. Aache kuu-promoti

    kwa sababu walikubali kubadilika na kuongoza, hao walioalikwa meza moja na dudu baya wamekubali kubadili tabia zao?
  6. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania ATCL Yasitisha Kwa Muda Safari za Ndege TC422 na TC423 Dar es Salaam–Moscow

    Alilizwa maswali gani mkuu?
  7. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania Nitapataje Yellow Fever Vaccine Certificate nipo Morogoro (Yellow Fever Card)

    haina noma mkuu ngoja nipambane
  8. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania Nitapataje Yellow Fever Vaccine Certificate nipo Morogoro (Yellow Fever Card)

    Bado mkuu safari bado sana ni kama wiki tatu zijazo hivi. Ngoja nizidi kujiuliza hapa
  9. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania Nitapataje Yellow Fever Vaccine Certificate nipo Morogoro (Yellow Fever Card)

    Kama vile ulikuwa kwenye kichwa changu
  10. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania Nitapataje Yellow Fever Vaccine Certificate nipo Morogoro (Yellow Fever Card)

    Asante mkuu Jane Msowoya, nafurahi kukuona upo. Kitambo sana aiseee.. Mimi ndo yule kijana mrefu tulikutanaga maeneo ya Kijitonyama miaka ile 2014/2015...
  11. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania Nitapataje Yellow Fever Vaccine Certificate nipo Morogoro (Yellow Fever Card)

    Kwa kiasi mkuu, nacheza na Poker pia
  12. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania Nitapataje Yellow Fever Vaccine Certificate nipo Morogoro (Yellow Fever Card)

    Asante aisee, nilienda hapo ila bahati mbaya wakasema hiyo chanjo mpaka nisariri Daslam Mnazi MMoja
  13. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania Nitapataje Yellow Fever Vaccine Certificate nipo Morogoro (Yellow Fever Card)

    Poa poa mkuu ngoja niende kesho hapo
Back
Top Bottom