Recent content by miketee

  1. M

    GE2020 Kasi ya Rais Magufuli imemshinda Abood, anaweza asipitishwe kugombea Morogoro Mjini

    Serikali ya Awamu ya 5 inajitahidi sana kufanya miradi mikubwa ya kimkakati ndani ya muda mfupi kwa gharama kubwa. Miradi hii inatosha sana kuiuza Serikali na CCM kwa wananchi kama wawakilishi wake wangekuwa wanamsaidia vizuri Rais kuitangaza na kuifafanua kwa wananchi Miongoni mwa miradi...
  2. M

    Mafundi wa kazi zifuatazo tuongee

    Nahitaji fundi wanaojua kazi ya rangi, tiles, timber finishing, lightings na ambaye anaweza au alishafanya kazi ya kufitisha haya mabafu ya kisasa. Naomba uje DM tuongee. [emoji1313] Mfano wa kinachotakiwa
  3. M

    Nahitaji fundi rangi, tiles, lighting na kufitisha bafu

    Nahitaji mafundi wanaojua kazi hizo hapo juu kwenye interior na ambaye anaweza au alishafanya kazi ya kufitisha haya mabafu ya kisasa. Nitaitaji pia anaeweza kufanya timber finishing Naomba uje DM na bei zako kabisa Ni bathroom/washroom. Na eneo ni Boko.
  4. M

    INAUZWA DStv decoder na dish lake for sale

    DStv HD decoder na Dish Lake pamoja na cables na remote yake inauzwa sharp. Bei 70,000. Maelewano kwa alie serious. Whatssap 0785022177 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Q Beans: Maharage yaliyochemshwa mlangoni kwako

    Kaka naomba nipelekee order kama ya Mara ya mwisho pale Sinza kumekucha, pakiti mbili, nimekutumia DM namba ya mfanyakazi atakupokea. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Q Beans: Maharage yaliyochemshwa mlangoni kwako

    Sasa hilo swala la kukosea mtoto si tulilimaliza juzi juzi na yule dada alieleta hayo maharage? Mtoto alikosea ila order yangu ya leo jioni niletee sio mtoto kakosea. Hapa hapa Kawe mlipoleta juzi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Mayonnaise ya kizalendo kwa wauza chips, wenye restaurants na wafanyabiashara

    . Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Mr Nyumba is in town

    . Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Mayonnaise ya kizalendo kwa wauza chips, wenye restaurants na wafanyabiashara

    . Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Mr Nyumba is in town

    # Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Mr Nyumba is in town

    . Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Sub-contract kwa wakandarasi

    Ndio mkuu, Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Mr Nyumba is in town

    Noted with thanks Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Mr Nyumba is in town

    . Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    Mr Nyumba is in town

    Ujenzi wa nyumba yako unaweza kuwa wa kisasa kwa kutumia Fundi wako mwenyewe huku akipata USHAURI WA KITAALAMU kutoka kwa MR NYUMBA. benefits za mr Nyumba Ni nyingi kwa nyumba yako, Fundi na kwako mwenyewe. Mpigie Sasa ujachelewa. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom