Yeah nimepost what it was in my mind kawaida me ni binafamu na Sio malaika hivyo kukosea nipart of my learning ila dhumuni langu ni ujumbe na Sio maandishi niliondika kama msomi utaelewa na utaweza kunishauri kama mjinga utaendeleza ujinga wako wakukosoa maandishi na si ujumbe. Asante jf members
Habari wana JF me ni mwanafunzi wa shelia mwaka wa mwisho Iringa ningependa kuongeza taharuma zaidi ninapo hitimu degree yangu lakini katika fani tofauti ambayo nitaweza kuattach na field yangu ya shelia bila kupitia law school hivyo naomba ushauli wenu nini naweza kusoma kama post graduate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.