msaada! Sumsung yangu inadai SIM password ukiweka line yeyote!

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,290
Naombeni msaada wakuu simu yangu aina ya Sumsung 8300 touchscreen sasa hivi nikiweka line inadai niingize SIM password
wakati mwanzoni ilikuwa inafanya kazi vizuri kabisa!
Naombeni msaada
nikiifungua bila line inafunguka vizuri kabisa na nimerestore factory settings na bado inakataa!
Nikienda kwenye settings kuna sehemu kwenye security settings kuna SIM password iko ON nikitaka kuweka OFF inaniambia INSERT SIM ila nikiweka haifunguki bila passward na mimi siijui! Nimejaribu 0000,1234, 12345, na nyingine nyingi ila hamna kitu!
IMEI yake ni 356276032908002
 
Toa simu kadi then washa piga * 2767*3855# UKFANKWA LETE FEEDBACK
 
Back
Top Bottom