Recent content by mikela

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna hitilafu Gridi ya Taifa? Umeme wakatika ghafla nchi nzima...

    Tanzania nzima ndugu mtz mwenzangu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada bei ya kukodi greda la kuchimba barabara

    Ipo laki tisa kwa cku
  3. M

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Makongo juu - Goba - Mbezi Mwisho yatelekezwa

    Ww acha upotoshaji huyo wa ccm ndio ataleta maji?utendaji mbovu na ufisadi ndio mnao jua ila kuboresha huduma za jamii mnaleta sihasa uchwara
  4. M

    JamiiForums Tanzania Njemba anaswa live akiwanga kanisani, akiwa mtupu

    Mmh siamin kwani hakujua kuna watu yanu hicho kiini macho kabisa. Uongo mtupuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika; njoo kimara haraka

    Kwa hiyp hata kama hawezi kutoa pesa kufatilia swala la maji dawasco akajua nini tatizo wananchi hawana maji miez miwili ni shida kwake?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika; njoo kimara haraka

    Yan kuna watu wanaboa tumekosa maji miezi miwili sasa bora tulikua tunayapata kwa mgao lakini mnyika yupo kimya hivi magonjwa ya matumbo na kuhara yataisha tz hii. Ww mnyika maji tuliyokuwa tunayapata mara mbili kwa wiki leo yapo?upo busy na UKAWA umesahau wananchi wako wa kimara,mbezi maji hakuna.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tuhuma ya wizi wa simu dhidi ya Paul Makonda, vijana tusimame pamoja

    mmh huyo konda arudishe simu ya mrembo halafu huu uzi hauna mantiki ungeenda kwenye point ,i wonder kijana mwenzangu kumtetea makonda.
Back
Top Bottom