Mkuu upo sahihi, sio wrong parking tu hawa jamaa wanatoza ushuru wa parking wanatakiwa walipe kodi kwenye faida wanazopata , mfano ukichukulia hapa Arusha gari ya biashara inachargiwa 1000 kwa siku na gari dogo ni 200 kwa saa labda tuseme kwa hao wa ofisini ambapo wanabaki ofisini ni karibu 2000...
Lakini pia jamii ya kimasai hawabaguliwi na jamii zingine ila wao ndio wanaji discriminate na jamii zingine.
Kwa mfano utasikia Kijana wa kimaasai akidharau jamii nyingine " utanieleza nini mimi sio layoni nimetahiriwa bila ganzi" sasa hapo shida inaanza.
Sina shida about superior military...
Kaka kama nilivyokuorodheshea angalia upendeleo wa kielimu jamii ya kimasai inaoupata anyway utasema ni mazingira yao lakini pia majuzi Kikwete amewagawia wamasai ng'ombe kwa kisingizio walipoteza mifugo mingi wakati wa ukame lakini si wamasai pekee waliopoteza mifugo hata wambulu mifugo yao ilikufa
Kaka kwa kiasi kikukubwa shughuli zangu
nafanyia masaini nafikiri Masai wanahitaji kubadilisha mtazamo kwenye kila kitu sisemi kwa sababu ya hili linalotokea kiteto maana huko sijaenda.
Majuzi nilikuwa maeneo ya Kitumbeine Noondoto na Lang'ata dapash jamii ya kimasai inahitaji kubadilisha...
Haikuwahi Kuwa mkoa wa Dodoma sikumbuki vizuri lakini baada ya Uhuru ilijulikana kama wilaya ya maasai na ilikuwa ndio kubwa maana ilianza Longido loliondo mpaka kiteto sina uhakika sana lakini Nina imani kuna atakayekuwa anaufahamu zaidi
Actually Kiteto haikuwahi kuwa mkoa wa Dodoma . Ilikuwa mkoa wa Arusha na ilikuwa na wilaya 9 na kipindi cha Ben Mkapa mkoa wa Arusha uligawanywa na kupatikana mkoa mpya wa Manyara
Jitambue
Hata budget ya kuwahifadhi hao tembo inatoka ughaibuni.
Wewe hata historia ya uhifadhi hujui lakini unabwabwaja hapa
Hizo national park almost zote zimeanzishwa na hao wazungu kwa kiasi kikubwa wazungu wamewalindia rasilimali zenu mpaka baada ya Uhuru walopowakabidhi ndio...
All you need is true love sasa unataka nani akugharamie na pesa haina nafasi
Binafsi naamini dawa ya mapenzi ni pesa cha ajabu unakuwa unademu unamfanya vizuri ajabu bado atakuambia umtoe ana shida na hela hapo sasa.
Bora umlipe apite zake kule .
Mlipe utakavyoona inafaa 50, laki na...
Hamna kitu hapo ni usanii mtupu hauitaji elimu ya degree kuuona ukweli salsa hata kama unataka kuwahadaa catholic sio rahisi namna Hui.
Kuna mahali nilishasema dead one never speaks sasa kama unaua mtu ili kuwasave wengine won't be for long but it's the matter of time soon the truth will come out
Sasa itakusaidiaje maana tuna PhDs holder's na graduates millions ambao hawatusadii wamejificha nyuma ya keyboard na IDs fake ili wapate mlo kwa kupost upuuzi bora hata usingekuwa na elimu kabisa tungeelewa ulikosa fursa
[Shida ni hizo cinema za kihindi ndio maana inakuwa shida kuwaamini
QUOTE=Hot Lady;10951127]Hivi huyu Lema ana akili timamu kweli? Eti jambazi kafaje akiwa mikononi mwa polisi? Gaidi ni mtu hatari sana. Nashauri magaidi wote waning'inizwe huko huko. Hakuna haja ya kuwapeleka mahakamani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.