Recent content by mikedaniel

  1. mikedaniel

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kozi ya kwenda kusoma

    Jamani nisaidieni hapa nina mdogo wangu kapata performance hii Kwa masomo ya arts , (iv-26)naombeni ushauri akasome nini jamani Civics- C Kiswahili-C Geography-C English-D History-D Maths-F Biology-D Naombeni ushauri wenu ndugu zangu
  2. mikedaniel

    JamiiForums Tanzania Pombe na nyama

    Hii hatari
  3. mikedaniel

    JamiiForums Tanzania Pombe na nyama

    Mmmmh ndo sababu jamani
  4. mikedaniel

    JamiiForums Tanzania Pombe na nyama

    Mmmh cjakuelewa
  5. mikedaniel

    JamiiForums Tanzania Pombe na nyama

    Kwanini mtu akinywa pombe alafu akala nyama hawezi kulewa, naombeni mnisaidie
  6. mikedaniel

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Chemistry takers wanisaidie holiday dealing please. Anhyadred salt X with RMM 106 was hydrated to form hydrated salt X.yH2O. Given mass of salt X is 21.25g and mass of water is 310g, calculate the value of y in the hydrated salt?
  7. mikedaniel

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa historia ya UKIMWI

    Nimegoogle ila nikaona ngoja niulize humu maana labda kuna wenye uelewa zaidi ya nilichogoogle
  8. mikedaniel

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa historia ya UKIMWI

    Kweli ee bac poa ila kama unafahamu wew kwanini ucseme
  9. mikedaniel

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa historia ya UKIMWI

    Sawa bhana
  10. mikedaniel

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa historia ya UKIMWI

    Du
  11. mikedaniel

    JamiiForums Tanzania Hivi kurisit mtihani ni lazima urisit masomo yote 2017/18

    Umerisit mwaka Jana au
  12. mikedaniel

    JamiiForums Tanzania Hivi kurisit mtihani ni lazima urisit masomo yote 2017/18

    Thanks kwani kuna MTU alinambia lazima urisit kuanzia 7 mwaka huu ndo mana nikauliza
  13. mikedaniel

    JamiiForums Tanzania Hivi kurisit mtihani ni lazima urisit masomo yote 2017/18

    Hivi jamani kurisit mtihani,unarisit kuanzia masomo mangapi? Help please
Back
Top Bottom