Recent content by Mikael Aweda

  1. Mikael Aweda

    Tetesi: Rais wa Marekani Donald Trump amefariki?

    Trump is alive and is working hard
  2. Mikael Aweda

    GE2025 Luhanga Mpina wa ACT, ameondolewa ili asigombee Urais au ni drama na kiki ya kuongeza kura zake kwa kurejeshwa na Mahakama kimkakati?

    Halafu iweje baada ya kumtoa? Abaki Salum na Samia. No way. They can not be that....
  3. Mikael Aweda

    GE2025 Luhanga Mpina wa ACT, ameondolewa ili asigombee Urais au ni drama na kiki ya kuongeza kura zake kwa kurejeshwa na Mahakama kimkakati?

    Loudly thinking! Bado sijashawishika kwamba Luhanga Mpina ameondolewa na Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi tena bila kufuata utaratibu. Sijaelewa mpaka sasa. Kuna mambo mawili ninawaza. 1. Ni kweli wamemwondoa Mpina kwa sababu zao. Naipa asilimia ndogo. Na kama ni kweli nimeogopa sana. 2...
  4. Mikael Aweda

    Britanicca: Alhamisi 28/08/2025 nitaleta Uzi ambao sidhani kama Taifa litabaki moja

    britanicca the Great. Heri kuishi mwaka Moja wenye impact kuliko miaka 100 isiyo na Impact. Come one
  5. Mikael Aweda

    GE2025 Ni kweli Lissu anatumiwa na CCM kuiondoa CHADEMA kwenye uchaguzi kijanja?

    Ndo umekuja na Id nyingine ili ujiokoe na upuuzi wako wa kitoto. Au ndo Team Chawa wa kupitosha Umma
  6. Mikael Aweda

    GE2025 Ni kweli Lissu anatumiwa na CCM kuiondoa CHADEMA kwenye uchaguzi kijanja?

    Kama ni Chawa huna faida kwa aliyekutuma. Tumia ili uweze kuwadanganya watu hata kwa siku Moja basi. Duuh
  7. Mikael Aweda

    GE2025 Ni kweli Lissu anatumiwa na CCM kuiondoa CHADEMA kwenye uchaguzi kijanja?

    Wewe ni mhuni mjinga na mpumbavu sana tena huna hata akili ndogo ya kudanganya watu. Zero strategy
Back
Top Bottom