Recent content by Mika Rhoda

  1. Mika Rhoda

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Kimataifa yaelezea wasiwasi juu ya ghasia za Jerusalem. Watu 200 wajeruhiwa

    Pale kwenye msikiti inatakiwa lijengwe hekalu la tatu Kama maandiko yanavyoeleza! Sasa nadhani Israel ipo tayari. Maandalizi ya ujenzi wa hekalu yamekamilika. Hakika tupo kwenye nyakati za mwisho
  2. Mika Rhoda

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

    Kenya tu hapo yamewakuta inaelezwa Kuna watu zaidi ya 200 hali sio nzuri baada ya chanjo, Mungu awape maono mema viongozi wetu
  3. Mika Rhoda

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

    Shalom "Bwana Mungu akasema nami juu ya ujio wa chanjo ya Corona kwa kasi sana barani Africa ikiwemo Tanzania ingawa baadhi ya nchi za Africa zinaendelea na udungaji wa chanjo hizo pia Bwana akanionyesha Contena saba ziko kwenye kama behewa kubwa ila ndani ya maji na ndani yake kuna sindano kama...
  4. Mika Rhoda

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

    Utawala wa Chuma na udongo. Soma kuhusu ndoto ya mfalme Nebukadnezer na ufunuo wa Yohana utaelewa hicho unachokizungumza.
  5. Mika Rhoda

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ameanza mchezo vizuri sana

    Kuanza hua haiwi shida mkuu, Tatizo hua ni concistance ya kile ulichokianza. Mungu amsaidie Rais wetu maana tunajua
  6. Mika Rhoda

    JamiiForums Tanzania Waliounga mkono juhudi za Dkt. Magufuli, wajiuzulu sasa

    Napigia mstari mkuu!
  7. Mika Rhoda

    JamiiForums Tanzania Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

    Mh! Nabii kaleta ujumbe aliyeletewa ujumbe kapuuzia, Yametimia. Taifa linapaswa kuomba toba kwa kupuuzia
  8. Mika Rhoda

    JamiiForums Tanzania Walimu shule za boarding tusaidieni

    Ni kweli hyo itasaidia. Ila kwanini wasianze walimu kuwaongoza vijana kumaliza hili tatzo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mika Rhoda

    JamiiForums Tanzania Walimu shule za boarding tusaidieni

    Imekuwa ni kama kawaida shule nyingi za boarding vitanda kuwa na kunguni. Hawa vijana wakija likizo wanatuachia majumbani hawa wadudu. Walimu angalieni namna mnavyowezakuwasaidia kuua hawa wadudu, Wakija wasije na nguo zao huku uraiani HappyNewYear2020 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom