Unahitaji kujielimisha kuhusu centralized na decentralized finance mkuu..Cryptocurrency sio scam na una mine bure ikiwa listed watu wanatoboa hapo jaman btc,Bnb na etc
Brouh Really sorry if it’s what triggered your anger and I didn’t mean to offend you,in your two previous comments you have been insulting me consistently with the same word’mpumbavu’ I don’t think if that’s how literate individuals should drag out the conclusions in their matter trying to...
Umaskini wa kifikra unaitafuna afrika tunapeleka bajeti kwenye mambo ya kipumbavu sana yani hatuwezi kusimama na hatujawahi kufikiria kujitegemea kwenye mambo muhimu kama haya..Acha Tujifunze in a hard way ili upumbavu upungue afrika
Ndiyo sasa wajue mapungufu ya serikali yao you should not be emotional huko hospitali hakuna vifaa Tiba asipoambiwa kununua ili afe zije lawama za maternal deaths sio..doctors are doing what is best for their patients alaf wao wanaona wanaonewa ama madaktari wanataka kuwapiga??Come back to your...
Stop being emotional have controll on how you react to things..Unajua mimi niko kwenye professional ipi am not just explaining things out of no where walk to health centres and dispensaries and watch how big is the scarcity of the medical equipments..watu wanawazalisha watu mikono tupu huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.