Recent content by mihambope

  1. M

    JamiiForums Tanzania TAARIFA; Matibabu ya Edgar Mwakabela (SATIVA)

    yaani mwanaume mzima mwenye afya tele unaacha kufanya kazi unabaki na kazi ya umbea kwenye mitandao tena umbea usio na faida kwako ndiyo matokeo yake hayo mshahara wa zambi ni mauti anavuna alichokipanda akitoka hapo akaendelee na udaku wake kwenue mitandao
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msigwa amehamia CCM, tayari Lissu amezira

    mwangalie huyu naye kwani hujui kama chama kinachukua ruzuku?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msigwa amehamia CCM, tayari Lissu amezira

    kani chadema anaheshima gani anavyo dhalilishwa na mbowe akataka kuonja sumu akwahishwa hospital@erythrocite
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Msigwa hayuko huru, anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala. Ushahidi wa video huu hapa

    kwani kalazimishwa kwenda ccm? kaenda mwenyewe kwa akili zake timamu anakosaje uhuru ?? IMEWAUMA SANAAAAAAAAA Erythrocyte
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama wafuasi wa Mbowe wataendelea kutukana Viongozi wa CHADEMA, Wajiandae kumpoteza Rose Mayemba

    utakaje na genge la kihuni chadema siyo chama ni saccos ya mbowe ndiyo maana hakuna ubinadamu huko matusi ni sehemu yao ya maisha
  6. M

    JamiiForums Tanzania Habari ya Eng. Matarra iwe funzo kwa vijana wengine wa upinzani wanaodhani CHADEMA itasimama nao wakipatwa na matatizo

    bora mmejijuwa mbowe hwezi kuwa rafiki na watu kama hao kweli mbowe shetani dadeeek wacha aipate joto ya jiwe hana hamu na watu kama mbowe sasahivi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Habari ya Eng. Matarra iwe funzo kwa vijana wengine wa upinzani wanaodhani CHADEMA itasimama nao wakipatwa na matatizo

    mchuma janga hula na wa kwao lakini huyu anakula janga peke yake kwa ujinga aliokuwa anafanya kwani nani alimshawishi afanye hivyo wenzie wana kula asali na kuchangia gari la lissu Erythrocyte
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Nitazunguka Nchi nzima kuelezea Uongo wa CHADEMA

    bora umeepuka kuwa mnafiki kwa kuikumbatia chadema hicho siyo chama ni genge la walanguzi watafuta kula ruzuku Erythrocyte
  9. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: RC Homera aagiza kukamatwa kwa kijana aliyemkashifu Rais Samia na kuichoma picha yake

    sifa zingine za kijinga wacha akapate haki yake sero
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano yaanza upya - Gen Z's Occupy Everywhere

    hapo hapatakaa sawa tena hizo vurugu walizoanzisha yafuatayo ni mauaji ya kimbari kumbuka kuna ukabila kule
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lema: Mchungaji Msigwa nimeumia sana, natamani niendelee Kufanya Kazi na wewe kwenye Chama Bora CHADEMA

    Lema naye yuko njiani kuhamia ccm ili akafanye kazi na msigwa hapo anazuga tu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja Masese: Tumemjua aliyekuwa akipokea pesa za Rais Samia kugombanisha watu ndani ya CHADEMA

    uzi mreeeefu hakuna cha maana msigwa kachagua chama bora kaachana na chama saccos ya mbowe chadema hakuna chama pale kuna mjungu tu na kusalitiana hakuna siku chadema watakuja kushika dola asilani
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka kuwa Mwenyekiti wa Kanda hadi kuwa DC ni anguko la Aibu kuu

    hahaaaaaaa yamewakuta chadema chaliiiiiiiiiii DC ni zaidi ya huo uenyekiti wa kanda kwa chama kisichoeleweka kama chadema
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wakili Matata: Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Magharibi wako Hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia hali ya Sativa!

    wahuni wenzie tayari kazini (chadema)
Back
Top Bottom