2021 hio Nilibeti nikapiga mshindo wa 520k. Nikatafuta chumba cha 50k nikalipa miezi 4, godoro nikachukua home, nikanunua shuka, pazia, feni, pasi, ndoo ndogo moja, ufagio, kopo la kuogea, na jagi la kuchemshia chai.
No sabufa, no kitanda, no TV, kuna time maisha yalikuwa magumu hadi...