Kama unafanya biashara na field yako hiyo hakikisaha una create your own Bank.
How
1. Hakikisha unapokuwa unazungusha biashara yako katika profit unayoipata tenga 10-20% ya profit kama akiba always.
2. Akiba hii iwekeze katika mahali salama lakini panapoweza kukupatia walau 10-15% yearly kama...
You expect more from your government inayokupelekea kuwa na negativity syndrome, umejawa na hasira unajichukia wewe mwenyewe, unaichukia Serikali yako, Taifa lako hadi Bara lako la Africa, Pole
My intek
1. Asilimia 90% ya watu tuliopitia uchumi duni au familia duni njia moja wapo ya kupata mafanikio nipamoja na kuwa na tabia inayoitwa Frugal (soma kitabu kinaitwa the millionare next door utanielewa)
Sifa ya Frugal person nipamoja na ubahiri, kuacha tabia ya shopaholic (kununua vitu...
Always market will attract those who want to make rich quickly and rewards only who want to make rich patiently.
Unapotaka uharaka wa mafanikio lazima uwe chambo na udunguliwe kirahisi.
Pia watu waache kuhesabu faida kabla ya deal kukamilika inawafanya wawe na haraka ya kuingia bila kutafakari.
Nimepokea maua haya kwa furaha na tabasamu, God Bless you. 🙌 imenifurahisha na kadri nifurahivyo nafsini mwangu nawe furaha hii ikakurudie ndugu mwandishi 😊 🙏
Short story
Nina mdogo wangu mmoja wa kike nlikuwa namsomesha shule O level mkoani, basi nikawa na tuma ada maana yupo private school...
Ni rahisi kwa mpumbavu kukurupuka na kulaumu jeshi la polisi kwa kuwa uhalifu huu haujamgusa yeye binafsi au familia, lakini mwenye hekima angeweza pengine kulishukuru jeshi la Polisi kwa majukumu wanayoyafanya kupamabana na uhalifu nchini.
Pananjia kadhaa za kumanaje wizi katika biashara
1. Science na Tekinolojia
Tumia vifaa vya kisasa kama hizo cctv camera kama biasgara n ndogo nowdays kuna taa ambazo n camera recorder na unaweza fuatilia.
Pia hizo software zenye kutrack every thing input and outputs, sells nk
2. Imani
Tumia...
Mwaka 2021 alikuja dada mmoja Afisa mikopo Ofisni kwangu kutokea microfinance moja ambayo kwa sasa inajitanua kuwa benki.
Akaweka ngonjera zake na kuniachia kipeperushi cha mikopo, nilikisoma lakini sikuona kipengele cha Kukupua mkopo, nikamuuliza endapo nimekopa pesa na nikahitaji kuirudisha...
Kaka tusiwalaumu hao wenye nafasi kwa sasa, najua kukosoa ni kazi rahisi sana lakini ngumu nikuwa katika hiyo nafasi.
Hii kitu ilinisumbua sana zamani kwanini watu hawawi wakweli kwa kila kitu hadi mwaka 2021 niliposoma kitabu cha Dale Carnegie kinachoitwa "how to win friends and influence...
Kaka hizi zote ni hatua tuko ya kwanza tunaelekea ya pili tutafika ya tatu.
Bora kitu kuliko kukosa kitu, sisi tuishi na tutoe mawazo yetu sehemu husika ipo siku tutakuwa kama wale, tujipe muda kwani ni mwalimu sahihi.
Kwangu ni mafanikio kwani tumetoka 0 tupo 1, hope tutafika 3.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.