Na mimi ninawaandikia kwa upendo mkuu ndugu zangu waislamu ninaowapenda sana ukweli ni kuwa pasipo kumwamini Yesu Kristo na kumpokea moyoni mwako ili aweze kukusamehe dhambi zako hakuna atakayetoboa kuingia Mbinguni. Hata ukijiita mkiristo kama ujampokea Yesu Kristo hata wewe mwenzangu huwezi...
Hii ni mbaya kweli. Kuna lecture mmoja alikuwa anafanya mambo hayo na mtoto akaamua kujinyonga. Sasa kilichotokea watoto wake wote walikuwa walichanganyikiwa. Hakakutana na nabii na kumwambia aliyotenda ndiyo yamesababisha laana kwa watoto wake. But it was too late. Mabaya tunayotenda kumbuka...
Kama hii ni kweli kuna haja ya kuanzisha somo la uzalendo kuanzia Primary school labda watoto wetu watabadilika maana ninaona kwamba wengi wetu tumeoza kwa wizi wa mali ya umma. Huu upigaji siyo wa kawaida. Basi kuweni hata na hofu ya Mungu. Ni aibu kama wewe ni mkiristo au muislamu unayejua...
Tuangalie sana jinsi tunapozipata hizi mali. Kumbuka ukipata mali kwa njia ya uovu utaacha mali yenye laana kwa watoto wako na mwisho ni kuuana wao kwao na hizo mali hazitawasaidia. Tujitahidi tupate mali nzetu kwa njia ya halali.
Ahsante kwa points nzuri.
Anyway, Wahenga walisema dunia ni tambara mbovu hasa huku Afrika.
Maadili yametoweka sana. Unawezaje kumwambia wa chini yako hasifanye yale unayofanya wewe. lazima ataiga kwako tu.
Ndiyo ni story lakini siku utakapotuaga na kwenda njia ya wanadamu wote utakutana na aliyekuumba. Unfortunately it will be too late for you. Facts si angalia juu nani aliyeziumba hizi mbingu.
Kupita na gari kama umetokea south nchi ambazo niliona raha kwenye mipaka yao Botswana, Namibia na Zimbabwe unapita vizuri bila usumbufu na unachukua mda mchache. Sasa kuingia Zambia na Tanzania kuna usumbufu mkubwa sana wa kuombwa rushwa na kodi za ajabu ajabu. Hapo ikawa mwisho wangu na ni...
Kama huwezi kuamini haya niliyosema hata nikitoa ushuhuda huwezi kuamini pia. Siwezi kukulaumu maana haya ni mambo ya imani zaidi. Sikumwona Yesu kwa macho yangu lakini niliamua kumwamini kupitia maandiko ya Biblia na nikamwona dhairi katika maisha yangu na hakuna wa kuweza kunigeuza nimwache...
Ninafikiri kutokuwepo usimamizi mzuri na pia rushwa ni sababu kubwa. Niliwahi kusimamia barabara kwenye kitengo cha kuangalia viwango niliyoyaona basi tu. Bila kuwa mzalendo wa kweli na kuamua kuishi maisha ya kuridhika ni ngumu sana kukwepa vishawishi vya rushwa. Kutokuwepo uzalendo ni shida...
Mkuu Yesu alikuja duniani. Hii ni kweli na wala hakuna wa kupinga. Hata kama uamini ndivyo ilivyo na itaendelea kuwa hivyo. Hayo tumeyaona na tumeshuhudia tulipoamini. Wewe pia ukimwamini hatakufanyia mambo ambayo utashangaa na utashuhudia na wengine. Nilimwamini nikiwa na miaka 18 na sasa nina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.