Recent content by migeye

  1. migeye

    Ipi pikipiki imara na madhubuti kati ya Boxer 150 na TVS HLX 150?

    Vp mkuu kwan na tvs wachina washatoa copy au
  2. migeye

    Nimeng'atwa na nge naombeni msaada wenu wakuu

    Nenda hospital utapata msaada kwa wataalamu
  3. migeye

    Tunauza pikipiki na bajaji mpya na used zote kwa bei nafuu.

    Ingia instagram kuna jamii wataitwa (wauzaji pikipiki) Sent using Jamii Forums mobile app
  4. migeye

    Ndugu yangu anataka kuniunganisha QNET, nipeni maswali ya kwenda kuwauliza

    Mwenyewe nimeitwa juz kat apa wamenipa mafunzo ya kwanza afu wakanambia niende kufikiria Nikawauliza hii biasha capital yake ikoje hawakutaka kuitaja Nkaachana nao watajirike wao kwanza then ntajiunga Sent using Jamii Forums mobile app
  5. migeye

    Utaratibu unaotumika kuanzisha huduma ya maabara na zahanati binafsi

    Weka camera mkuu ambazo unakuwa na uwezo wa kuona sehem yoyote inakuwa connected na simu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. migeye

    Mkoa wa Kagera hauendani na wao wanavyoudhania

    Mkuu wasomi ndo hawana hela apa dunian Sent using Jamii Forums mobile app
  7. migeye

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Wakuu nipo njombe nataman kufungua duka la jumla la vinywaji aina zote naomba kujua mtaji kiasi gan niandae kwa kuanzia Sent using Jamii Forums mobile app
  8. migeye

    Naomba kujua soko la ngano

    Nina gunia 50 mkuu
  9. migeye

    Naomba kujua soko la ngano

    Kama kichwa kinavojieleza mimi n mkulima wa ngano kutoka njombe naomba msaada wa kujua wap nitauza ngano yangu na bei zake zpoje saiz
  10. migeye

    Nahitaji used phone 250,000tsh

    Ipo samsung galaxy s5 nipo dom
  11. migeye

    Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

    Nashukuru sana vp kweny upande wa biashara nyingne nje ya kilimo
  12. migeye

    Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

    Nashukuru sana vp kwenye upande wa biashara nje ya kilimo
  13. migeye

    Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

    Naomba kujua fursa zilizopo wilaya ya bahi dodoma - JamiiForums Naomba kujua fursa zilizopo wilaya ya bahi dodoma
  14. migeye

    Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

    Nategemea kuhamia kikaz dodoma wilaya bahi mwezi wa 10 naomba kujua fursa za apo na changamoto za maeneo yale kwa wenyeji wako umu jf
Back
Top Bottom