Recent content by miemwenye

  1. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunahitaji ukombozi wa fikra

    Well spoken Tetra, inabidi tuungane na mh. Mbatia, ni lazima mfumo mzima wa elimu uangaliwe upya.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Angalia puctuation inavyoweza halibu maana

    Nice topic
  3. M

    JamiiForums Tanzania moevt kuacha walimu wenye taaluma na kuajiri watu wa fani nyingine

    Usihofu ndugu, mtaajiriwa hivi punde
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nilio shuhudia leo, yanasikitisha!

    kwani hapa Dar hatuwezi kufanya kama mfanyavyo kijijini kwenu?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nilio shuhudia leo, yanasikitisha!

    peleka basi hata madawati mawili, au kwanini usitafute jamaa uliosoma nao hapo muone mnawezaje kuisaidia shule yenu?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Makamba Named 2013 Young Global Leader

    He is good and he deserves it, Hongera sana kaka January, keep it up!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe mwenyekiti mpya kamati ya PAC

    He is the best Congrats mh. ZITTO.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunahitaji ukombozi wa fikra

    Nimegundua wengi sana tunaendeshwa na ushabiki, narudia tena serikali hii inamengi ya kulaumiwa lakini sisi tunaolaumu je tukoje? kulaumu peke yake haitatusaidia tunatakiwa tuamke. Sijamsikia kiongozi yeyote ukiacha mzee Mkapa ambae alisema wazi kuwa watz wengi ni wavivu wa kufikiri, mimi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nilio shuhudia leo, yanasikitisha!

    Sasa ni kweli kabisa serikali ina upande wake wa lawama, hili la madawati kweli ni serikali nayo ndio ilete jamani? Kamati za shule zina kazi gani? bodi ya shule nayo? misitu yote hii, mi nasema watanzania tunahitaji kwanza ukombozi wa fikra zetu kabla ya ukombozi mwingine wowote ule, sisi ndio...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kawambwa anaonewa

    kwahiyo kiongozi kwa mtazamo wako Kawambwa akiondoka watoto watafaulu? Maana yangu ni kuwa tuhangaike na mfumo na sio mtu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania kwanini muunganiko wa makanisa wasiwe na mitihani yao ya kitaifa?

    That is stupidity of the highest order.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kawambwa anaonewa

    Mipango inayoandaliwa na watu au taasisi yoyote ile kufanya maandamano ya kumng'oa Kawambwa na naibu wake Mulugo ni haramu na dhaifu. Sekta ya elimu ni pana sana na ufaulu wa mwanafunzi hautegemei kitu kimoja. Waziri sio lazima awe mtaalamu wa wizara anayoiongoza,nafasi yake ni ya kisiasa,yeye...
  13. M

    JamiiForums Tanzania J.K. Awaasa Muslim University Morogoro

    Ni ushauri wa kawaida ambao kama mkuu wa nchi angeutoa hata kwa st.John, mengine ni tafsiri zenu tuu, halafu ni muhimu sana kuepuka mambo ya udini ni mabaya na chokochoko zinaanza hivihivi, kwani mtu hawezi kutoa maoni bila kutaja dini ya mwenzake?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kamanda Kova: Tuhuma dhidi ya Lwakatare hazihusishi Chama

    Akiwa mtaalam wa ulinzi na usalama kamanda Kova ameongea vyema, tusubiri matokeo
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maafisa waandamizi wa polisi wasimamishwa kazi NA KUSHITAKIWA

    Mwanzo mzuri ila ninaomba isiwe ni nguvu za soda
Back
Top Bottom