Kaka habari.
Kuna mtumishi mmoja ni Nurse aliniambia yeye alipata ajira kwa second round...nilikuwa napenda nikuulzie hili suala zima la second round lipoje...Je wanapotoa kwa mara ya kwanza je, kuna muda wanarudia kuita watu kwa mara nyingine ikiwa walioitwa hawakwenda kwa sababu mbalimbali...
Seems we have the common stand.
Unakutana na mwanamke unamwambia mimi bado sijafanikiwa, anakwambia fanikiwa kwanza.
Nikishafanikiwa sijaoa, sitahitaji ndoa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.