Recent content by microsoft g

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwako Mbunge Hamisi Mwinjuma (Mwana FA) kauli hii inaweza kukosesha Ubunge

    Shida ya watanzania wengi wanapenda kupewa pewa sana ndio maana hilo swala la Mwana FA kutokuchangia linawasumbua akili
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kulivyo Geita tofauti na mabilioni ya dhahabu yaliyopo

    Kiufupi yani kule kila kitu kibovu yani,, usafiri shida yani ata stendi ya mabasi tu hakuna, Inasikitisha sana.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kulivyo Geita tofauti na mabilioni ya dhahabu yaliyopo

    Mkuu usishangae  Geita Nenda Mererani kule Inapotoka  Tanzanite ukashangae zaidi yani huwezi amini kama ndio sehemu pekee inayotoa madini hayo
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa Namibia, Hage Geingob afariki Dunia

    Rest in paradise Mr President, Pole kwa wana Namibia wote.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tunaprint tshirt, caps, uniform za shule, calendar na diaries za 2024

    Yani t-shirt yangu au kila kitu kwako
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tunaprint tshirt, caps, uniform za shule, calendar na diaries za 2024

    Bei kwa t-shirt moja?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ikiwa wewe ndiye Masikini zaidi kati ya ndugu zako, epuka mikusanyiko ya Kifamilia

    Mkuu unazungumzia wazungu hawa hawa au kuna wengine???
Back
Top Bottom