Recent content by Microgynon

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maisha ya madaktari wa Kitanzania na umaskini wao na kuishia katika kupata heart attack

    Poleni wataalam, ila sasa umeangalia upande wa madaktari tu vipi kuhusu wengine wa kada ya afya au na wao hawana umuhimu kwenye suala la maslahi?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wema Wangu Umeniponza au Nilisalitiwa na Watu Niliowaamini?

    na mlipompata ilikuweje?, ungemalizia mkasa mzima ili na sisi tupate ya kujifunza zaidi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli Humuweka Mtu Huru: Nimechoka Kujiuza, Nimechoka.

    Inabidi huyo Mume asiwe wa hapo alipowahi kufanyia mambo yake ya zamani wala asiwe na ukariu nao watu wanaomjua historia yake, vinginevyo atasababishiwa maumivu zaidi na watu wasiopenda kuona akiwa amebadilika na maisha mapya. Kongole kwake kwa kuamua kubadilika.
  4. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Walimu na Uongozi wa Diamond Primary School wametoa Wapi haki ya kuwanyang'anya watoto wetu mabegi ya shule na kuwatenga madarasani?!

    Pole kwa changamoto Mkuu. Natumai hii pia haipo hapo Olympio Maana mmmmhh
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je! Ni sawa rafiki au ndugu yako akuombe uzae na mke wake?

    Mnataka kusema kuwa hata huduma za IVF hazipo kiasi hadi iwabidi kutumia zinaa?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kuombwa ombwa hela, kwa kigezo cha mahusiano

    Kwa hili unamaanisha kuwa kitumbua ni for sale. Sio?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watanganyika msinug'unike, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar utavunjika wenyewe automatically

    Suala ni kwamba wao Zanzibar hawataki hiyo serikali moja kwasababu itawafanya kuwa kama mkoa ndani ya Tanzania, uliza vizuri hata wananchi wao wanakazia sana kuwa Zanzibar ni nchi na ni nadra sana wak kujitambulisha kama waTz hasa wakiwa nje ya nchi wakiulizwa utaifa wao wanajibu Zanzibar, hata...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Iweje Zanzibar Tarehe 1 Muharam 1448 Sikukuu Inaadhimisha Mwaka wa Kiislamu Bara ni Siku ya Kazi?

    Tanzania sio nchi ya waislam, ni nchi ya Watanzania. Msitafute kuwafarakanisha waTanzania kisa zanzibar.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimevumilia Usaliti wa Mke wangu kwa Miaka, Simu yake imenifungua Macho

    Msamehe tu, kaumizwa hadi kapoteza uwezo wa kung'amua mambo.
  10. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Madaktari na Wafamasia wenye 'access' ya dawa kwenye maeneo yao ya kazi, hutumia fursa hiyo kuzidokoa na kupeleka kwenye maduka yao

    Sio zote, zingine huwa zinanunuliwa kwa washitiri na sio MSD hivyo zinakuwa hazina chapa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Usikubali kuonewa huruma, unastahili heshima

    Kumbe wewe mwenyeji kabisa hapo Mabibo. 😃 Watu tunapishana sana live ila hatujuani. Hizi anonymous ID za JF zinatusitiri sana.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kufariki kwa huyu Mtumishi Mwenzangu ambaye nilifanya naye kazi huku tukiwa na Ugomvi mpaka alinifanya kuhama

    Inawezekana hayajui maumivu ya kufiwa na kuwa familia za kinyakyusa huwa na ndugu wengi sana yaani wanyakyusa ni moja ya makabila yenye extended family ndefu sana ndio maana huwa anahisi wanapolia ni kama wanaigiza.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Na huu uzi ni kama umeshafika tamati wakati bado kama umeishia njiani.
Back
Top Bottom