Kumbuka enzi hizo wasomi waliokua wanafika elimu ya juu walikua ni wachache wenye kuweza kubebeka tofauti na hivi sasa wasomi wamekua ni wengi ndo maana serikali ikaweka mikakati ya kuweza kuwasaidia wasiokua na uwezo wa kugharamikia gharama za elimu ya juu ili na wao waweze kupata elimu
Ukiuliza nini maana ya mkopo nitakwambia kila mkopo una masharti yake na mkopo wa alemu ya juu ulianzishwa kwa lengo hilo nilokwambia hapo juu hivyo sio kila mtu anapaswa apewe.
Hata ww pia hujui ulisemalo ungelijua lengo la kuanzishwa bodi ya mikopo wala usingemuona mwandishi amekurupuka.
Maana bodi ya mkopo ilianzishwa kwa lengo la kusaidia wale wasiojiweza kumudu gharama za kujisomesha elimu ya juu na wawe wamefaulu vizuri kuendelea na elimu ya juu...
Mkuu tukianza kwenda kwa hivyo basi na mie nitauliza je yule mgombea wa upande wa pili yule wa monduli kule atokako ni kama new york?
Maana yeye amekua kwenye hii serikali kwa mda mrefu zaidi ya JPM na ameshikilia nya zifa za juu zaidi ndani ya nchi na kwa miaka mingi zaidi ya JPM lakini...
Unamda gani na umeanza lini kuifuatilia siasa ya tz?
Inaonekana ni mdogo sana kiumri au sio mtanzania kabisa kwa maana ungekua mtanzania wala usingeweza kutoa hoja hiyo kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.