Recent content by mickboy

  1. M

    Waislamu Msikubali utapeli huu wa Kisiasa( Angalia Danganya toto iliowekwa ndani ya Rasimu ya CCM)

    hakuna muislamu aliepinga jambo lolote la kikristo lakini nashangaa watu wamevaa shingoni shanga kwakupinga mahakama ya kazi.
  2. M

    Waislamu Msikubali utapeli huu wa Kisiasa( Angalia Danganya toto iliowekwa ndani ya Rasimu ya CCM)

    mkuu mtakaa sana! siku zote narudia kwakusema Tatua yatizo usiahirishe tatizo litakugharimu. ukweli utadhihiri na mtalia na kusaga meno! mahakama ya kazi haina shida yyte ile muikatae msikatae nuru ya mungu haizimwi na nguvu za wanadamu.
  3. M

    Kadhia ya Mahakama ya Kadhi

    kumbe humu jf kuna wapuuzi. usilolijua ni sawa na usiku wa kiza. mnauficha ukweli ipo siku utadhihiri wenyewe. kwenye tatizo tatua tatizo ukificha tatizo yatakukuta madhara. mahakama ya kazi unavozani ww au tafasiri yako sivo hivo soma ujue kama hujui uliza. mtu halazimishwi kuingia kwenye dini...
  4. M

    Rasimu ya Katiba mpya kupigiwa kura Sept. 21, 2014

    sitta amechanganyikiwa wamezidi kuwaona waislamu hawafai. huwezi kuwadanganya watu kama watoto. useme tusubiri maridhiano toka kwa waziri mkuu cjui mahakama ya kadhi ipo kwenye sheria haitakiwi kwenye katiba. Hapa inaandikwa katiba ya miaka hamsini mbele sasa kama inaandikwa katiba kwann...
  5. M

    Kuhusu mahakama ya kadhi

    Tatizo kubwa hapo elimu ndio tatizo. mahakama ya kadhi sawa haiwahusu wakristo inawahusu waislamu na ndiomaana wanaidai. Na halazimishwi kila muislamu kupeleka kesi yake hapo kama hutaki kupeleka hapo unaenda kwenye ya serikali.Na mkristo kuzaa na muislamu au muislamu kuzaa na mkristo hiyo ni...
  6. M

    Waislam Mpo wapi uchakachuaji katiba mpya???

    bakwata wako wapi? maana ndio wenzie katoriki kwenye inchi yao! lkn nashangaa katoriki wana ubalozi lkn bakwata hawana ndiomaana komya!
  7. M

    Kikwete amuondoa rasmi Dr. Ndalichako NECTA, amteua Dr. Msonde

    nyie mnamatatizo ya uelewa kabisa. mtumishi wa serikali anapangiwa sehemu yyte ile mwajiri wake atakavoona inafaa. sasa maneno mengi mlitaka ndalichako akae milele necta? necta ni taasisi ya serikali sio ya mtu binafsi. miaka aliokaa inatosha na amefanya mengi ndani ya miaka hiyo. na sasa...
  8. M

    Kikwete amuondoa rasmi Dr. Ndalichako NECTA, amteua Dr. Msonde

    wanafiki ni wengi sana watanzani siku zote wanaongea sana bila ya kufikili,na niwagumu kwamabadiliko hata kama kitu kizuri kinakuja huwa hawakubali. dr ndalichako amefanya kazi vyakutosha na ameachia wengine wafanye kazi. mbona Rais anafanya kazi na anaingia mwingine tatizo nn? acheni Rais...
  9. M

    Uso kwa uso na Lowassa: Jamani Lowassa ni bonge la Kiongozi

    lowasa hafai kuwa rais.Ila kwakuwa chama chake kinaweza kumsimamisha ndio anaweza kupata lkn sifa hana. fisadi mkubwa huyo anaemtetea kwakuwa anasaka tonge na huwezi msifia mtu kwakuponda walio madarakani. mtoa mada umechemka toa mambo muhimu yanayolikabili taifa. unaanza kampeni muda bado...
  10. M

    Matokeo Kidato cha sita: Lengo limetimia!

    watanzani mtakaa sana kila kitu kuponda bila kuangalia kwa makini. someni kwamakini mtaelewa sio kukurupuka. Ndio maana prf kahigi alisema watu hawataki kusoma kabisa hata vitabu au kwenye mtandao wanakazi ya kulalama tu. Kubalini mabadiliko mabadiliko muhimu kwawakati tulionao lkn ni mabadiliko...
  11. M

    Matokeo Kidato cha sita: Lengo limetimia!

    watanzani mtakaa sana kila kitu kuponda bila kuangalia kwa makini. someni kwamakini mtaelewa sio kukurupuka. Ndio maana prf kahigi alisema watu hawataki kusoma kabisa hata vitabu au kwenye mtandao wanakazi ya kulalama tu. Kubalini mabadiliko mabadiliko muhimu kwawakati tulionao lkn ni mabadiliko...
Back
Top Bottom