Recent content by MICHOH

  1. M

    Usaili NIT

    CALL TO ATTEND JOB INTERVIEW The following Job applicants have been shortlisted to appear for written Interview on Friday 14th August, 2015 from 8.00 am. They are required to bring with them original certificates and transcripts. A: TUTORIAL ASSISTANT IN ACCOUNTING AND FINANCE 1. RAMADHANI...
  2. M

    Usaili NIT

    Jaman mwenye uzoefu na hizi interview za vyuo atupe mwanga kidogo.
  3. M

    Usaili NIT

    0222400846 hiyo ndo namba waliyonipigia
  4. M

    Usaili NIT

    Inabidi kukaza tu ndugu yangu, huwezi jua unaweza kuta ndo nafasi yako
  5. M

    Usaili NIT

    Mimi mwenyewe nimeitwa ni sa 2 asubuhi kwa tutorial assistant position.
  6. M

    Interview na kupata kazi

    Habari za asubuhi jaman. Kuna kitu kinaniboa Sana nchi hii, yaan mtu unaitwa interview una uhakika umefanya vizuri halafu mwisho wa siku kimya halafu unasikia mbona watu wapo kazini Jaman hii nchi watu tusio na watu kwenye system Tunatoka lin? Lingine nafasi 5 mnaitwa watu elfu 1000 halafu...
  7. M

    Nafasi kede kede za Bank of Tanzania - MTWARA Branch

    Jaman tujaribu tu Ila kujuana ni Sana unaweza ukaitwa huwez jua Ila jaman mimi naomba ili Chama litoke madarakani yani watoto wasio na ndugu serikali wanabak kuzunguka na bahasha miaka na miaka
  8. M

    TRA wameita watu kwenye usaili

    Jaman vipi hamjasikia chochote kuhusu format za interview zao? maana siku ndo sishayoyoma kwa mwenye knowledge kidogo atusaidie tusizame jamani maana inabidi angalau tufaulu viwango vya juu wakose sababu ya kutuchinjia baharini......Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe
  9. M

    TRA wameita watu kwenye usaili

    fika bila kukosa endelea kujifua kijana mbele kwa mbele madam umepigiwa cm usihofu
  10. M

    TRA wameita watu kwenye usaili

    Jamani nashukuru sana kwa msaada wa mawazo si unajua wengine ndo tuningia kwenye gemu ya ajira hatujui moja wala mbili tunaihitaji msaada wenu...I really appreciate it.thanx.
  11. M

    TRA wameita watu kwenye usaili

    jamani naombeni msaada wa mwazo maana nimeitwa interview wki ijayo tarehe 12 lakini transcript zinatoka tarehe 15 sasa sijui kama watakubali provisional results.nomeeni msaada wa mawazo tafadhali!
  12. M

    TRA wameita watu kwenye usaili

    jamani naombeni msaada wa mwazo maana nimeitwa interview wki ijayo tarehe 12 lakini transcript zinatoka tarehe 15 sasa sijui kama watakubali provisional results.nomeeni msaada wa mawazo tafadhali!
  13. M

    TRA wameita watu kwenye usaili

    Jamani watu ambao wamewahi fanya hizi aptitude test watutupie hata possible basi,.
  14. M

    TRA wameita watu kwenye usaili

    Me mwenyewe nimeitwa ila bado sijapata transcript nategemea kupata wiki tarehe 15 vipi jamani wanaweza wakanipokea.naomba kuwasilisha ombi
Back
Top Bottom