MFAHAMU MAGUFULI
Dk. John Pombe Joseph Magufuli, alizaliwa Oktoba 29, 1959 wilayani Chato. Amezaliwa katika familia ya mkulima wa pamba na ufugaji.
ELIMU
Mwaka 1967 1974 alisoma Shule ya Msingi, Chato.
Mwaka 1975 1977 alisoma Shule ya Msingi Katoke, Biharamulo mkoani Kagera.
Mwaka...