Sababu 10 tu kwanini Magufuli ana nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi 2015

WATANZANIA HATUDANGANYWI TENA, TUTAMPIGIA KURA EDWARD LOWASSA,mlikuwa wapi kwa miaka zaidi ya 50 msitimize hayo?
 
- Yaani wewe na mkeo ndio Tanzania? Jiongeleee mwenyewe hujachaguliwa kuongelea wengine hahahahaha

le Mutuz

Teh...Teh...Teh... NGOJA IKIFIKA TAREHE 25,ndio utajua kama ni mimi na mke wangu(dada yako) au NI WATANZANIA TUSIODANGANYWA TENA.
 
UKIMALIZA KUSOMA HAPA NAFAHAMU UTAANDAA KURA YAKO NA FAMILIA YAKO KWA LOWASSA.

SABABU KUU ZA CCM kuanguka...!!��

1: KATIBA mpya ya WARIOBA.... huu ndio msumari mkuu, na wananchi WANA HASIRA NA HILI.. na CCM walichakachua, na wako kimya...hata Ilani yao hawasemi hilo

2: UFISADI.... hadi sasa CCM hawana SERA... wanaongelea Lowassa, Lowassa, Lowassa, Lowassa... hawana policies kabisa...Watu wanahoji na wanajua CCM ndio ina ufisadi wa kutisha, sio Lowassa, Lowassa hana kesi au kutuhumiwa sehemu yoyote na vyombo vya Dola... eg TAKUKURU, DPP, MAHAKAMA, POLICE, TUME YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA na hata KAMATI ya maadili ya CCM haijawahi mshutumu maisha yake yote akiwa CCM na Serikalini... so CCM hawana points, sasa watu wanajua mengiii kuhusu ufisadi... kuna

1: ESCROW... wizi wa wazi...

2: WACHINA wanatuibia usiku na mchana... ni CCM inawaleta... tushamalizwa.

3: EPA... wizi wa wazi..

4: WANYAMA hai kwenda na Ndege hadi Twiga... hii ni hatari kuu

5: RICHMOND... sio ya Lowassa na kaikana, na hata Obama alipelekwa Ubungo na kuipongeza... so utajua ni ya nani hapo..

6: IPTL... hili ndio ZIMWI LINALO TUMALIZA... na mnajua mmiliki wake... watu wanajua haswaaa...!!!

7: MIKATABA YA GESI NA MAFUTA.. hapa hata PAC, hawajui nn hii mikataba TAIFA linafaidika... tunaibiwa mchana
mchana tena.. hadi TPDC wenyewe hawajui kuna nn ndani... hatari sana

8: MEREMETA...

9: KIWIRA...

10: TEMBO wanuawa sana, na wahusika wanajulikana, hadi meli zake... so wananchi wanajua, WACHINA ndio wanashirikiana nae, jambazi mkuu wa swala hili... Wachina wamemaliza nchi yetu...

11: MKOPO WA BOMBA LA GESI from CHINA... Tshs. 1.6 TRILLION... yaani Dollar billion 1 kwa rate ya wakati ule wa mkopo... Hizo fedha watu wanahoji fedha hizo kama zimetumika, ZIMEFICHWA SANA SANAAA... na wanasema almost nusu tu ndio imetumika kulaza mabomba ya Gesi from Mtwara hadi Dar... Zingine ndio hivyo..refer Freeman Mbowe..

12: MABEHEWA FEKI... tshs 252 Bilioni, jamani... na Mwakyembe akiwa waziri wa Uchukuzi, hatari sana hii... billions zote zilitolewa na kulipwa kwa wakati mmoja kinyume na taratibu za manunuzi... you have to pay half kikawaida, then bidhaa au VIFAA vikisha tengenezwa na kuwa tested to standard na kuona viko to STANDARD... ndio UNALIPA NUSU YA FEDHA ZILIZOBAKIA...

13: MELI YA SAMAKI ya Magufuli...Serikali imeshindwa kesi...na sasa inadaiwa billions.. huu ni ufisadi, yaani unamkamata mwizi, kaiba samaki wetu, alafu unashindwa kesi, HAPA SBB MELI NI YA CHINA TU... so WACHINA WANATUMALIZA HADI BAHARI YETU.. WACHINA HAWAFAI...

14: NYUMBA ZA SERIKALI... yaani hapa ndio DHAMANI YA MA TRILLIONS zilipotea... bure kabisa, Magufuli ndio kahusika... BILLIONS of ASSETS incl..Prime Areas ziligawiwa hovyo na kuwapa ndugu, vimada, hapa Serikali ilipoteza ma trillions... hii ni hasara kubwa sana saanaaa...

15: LOLIONDO... ule mradi wa waarabu ni ni wizi mtu wa kuwinda wanyama, ORTELO group... nchi haifaidiki na chochote... na KINANA alihusika kuwapa waarabu wale LOLIONDO...

16: BANDARI YETU... hapa CCM na serikali yake ndio imekuwa kichaka cha kuchuma fedha, na kutoa misamaha ya kodi BILLIONS kwa wiki tu... mfano kampuni moja tu ya mtoto wa kigogo, inasamehewa Tshs. 16 billions kwa wiki moja tu... ni hatari sana...

17: MIKATABA YA MADINI... hapa tumeliwa hadi basi... we lost TRILLIONS of Tshs... na wafaidika ni CCM na vigogo wake... wananchi maeneo husika ya migodi wamekuwa vilema na maskini fukara wa kutupa...mikataba ya migodi INAFICHWA KULIKO SEHEMU ZA SIRI ZA MWANADAMU WA LEO...

18: MADAWA YA KULEVYAAAAAA... wote mnajua hata siandiki kitu hapa... yaani...������������

19: NET GROUPS solutions... yaani wee acha tu..

20: SERIKALI inadaiwa na WAKANDARASI 1.4 Trillions wizara ya Magufuli pekee... ikiwa tshs 900 bilioni ni FEDHA ZA DENI...NA Tshs 500 bilioni ni RIBA la DENI HILO... refer Sumaye... kasema hilo wazi... IMAGINE sasa...DENI KUBWA HIVYO... WIZARA YA MAGUFULI... huu ni ufisadi... jumlisha na CAG alisema WIZARA YA MAGUFULI tshs 256 Bilions hazijulikani zilipo... huyo ni CAG mpya Prof. Assad... tena kasema Waziri Magufuli ashitakiwe...!!! Imagine...����������

21: UDA jamaniiii...UDA yetuuuuuu.... UDA jamaniiiiiii...... nalia naumiaaaa... UDA mali zaidi ya tshs 12 bil... zinauzwa kwa bei ya uwizi kwa tshs 400 mil..... sasa ULIZIA NI MRADI WA NANI.... jamaniiii..... LAKE OIL lazima pia tuichukue.... mali zetu wananchi zote hizo

������HAYO ni kwa UCHACHE TU MADHAMBI na UFISADI WA CCM

....SERA za CCM sasa ktk UCHAGUZI HUU... ni hakuna kitu... sera zao tuone..

1: Lowassaaaa, Lowassaaa... Lowassaaaa, Lowassaaaaaaaa..������������ nonsense...

2: MSIFANYE MABADILIKO mtakuwa kama Libya, sijui Tunisia... what..?? hata mgombea wao hajui LIBYA na Tunisia hawakupiga kura wala MAPINDUZI YAO HAUJATOKANA NA KURA.. nashangaa mifano mfu kabisa.. wanatisha watu hovyo... ila hawatolei mifano KENYA, MALAWI, ZAMBIA ambayo ni mifano halisi na yetu...

3: NITAFUNGUA MAHAKAMA YA MAFISADI... eeeehh.. hii ndio priority ya watanzania kweli...?? ��������

4: UDINI... badala wauze sera bora, wamebaki kusema udini, huku wakijua ni uongo kabisa.. walianza na Ugonjwa, ukanda, ukabila vyote vimegonga mwamba...

5: KUWA SAMBARATISHA VIONGOZI WAKUU WAWILI WA UKAWA... Dr. Slaa na Lipumba.. mbinu hizi mbili kuu ndio ilikuwa SILAHA kuu za CCM, na zote zimeshindwa kabisa.. wananchi wamebaki na UKAWA.. na hakuna alio wafuata hao, na sasa WANANCHI WANAWAONA WASALITI WAKUU.. so mbinu hii au sera hii imefeli vibaya..

6: MGOMBEA URAIS CCM, anaongea kama mpinzani, na yeye ANATAKA MABADILIKO.. anashangaa DAWA HAKUNA, VIWANDA VIMEKUFA... ANASHANGAA UFISADI, na hata anasema KUNA MCHWA WENGI SERIKALINI sana, sasa hapo anamchongea boss wake kwa wananchi, na ANASHANGAZA... YUKO KAMA HAGOMBEI CCM vile...

7: ETI kitandani kikiingia KUNGUNI wawili utachoma kitanda au utawatafuta KUNGUNI wawili utawaua... hii sio sera jamani... this is TOO LOW....������������

8: CCM wananchi wameichoka sana, ulizia kila group la watu, kila kona ya nchi... na hata wana CCM wengii wataipigia kura UKAWA... yaani wengi bado wana matumaini sana na Lowassa , hii ndio hatari kubwa CCM kuliko yote.. na hawataki kuona hili...

9: MAKUNDI yaliyo pata shida na serikali ya CCM, yana hasira, eg WAALIMU, MADAKTARI, BODABODA, MACHINGA, MAMA NTILIE, wana MTWARA wengi hawa wana HASIRA sana na CCM...na ni pigo sana..

10: VITISHO VYA MAGUFULI... huwezi uongea jukwaani na kusema nikiingia IKULU WATANIKOMAAAA... wafanyakazi serikalini watakoma, sijui waziri atakoma, sijui wakurugenzi watanikoma, sijui nani, au MSIFANYE MABADILIKO YATATOKEA KAMA LIBYA, mara KUWAIT... hivi vitisho UNAKOSA KURA KABISAAA..... RAIS hatakiwi kuwa mtu WA KUTISHA WATU WA NCHI YAKE... hili ni KOSAAAA KUBWAAA MDOMONI NA AKILINI MWA MAGUFULI..... namuonea huruma...na HII SIO SERA KABISA..mifano mfu kabisa na vitisho kila akisema neno, UNAWATISHA WATU HIVYO... kura hutapata aiseee...!!!����������������������

11: ETI nitatoa mil 50 kila kijiji, eeeehh...!!😨😨😨 nitampa kila mwalimu Laptop... eeeehh...😨😨😨😨 ACHA UONGO... hii sio SERA... ubovu na uongo mkubwa... mabilioni ya JK yote yalipotea... HIZI sio sera...!!! MWISHOWE mtatuambia MTALETA KIWANDA CHA KUTENGENEZA FEDHA KILA WILAYA...!!! 😨😨😨😨

CCM ikifuatilia kwa makini, hawana JIPYA au strategies zozote tofauti... kabisa kabisa... sera zao ni zile zile...hata wimbo wao unadhihirisha hayo, kuwa CCM ni ILEEEE ILEEEE... ooh.. CCM ni ILEEE ILEEEEE... CCM ni JANGA LA TAIFA...period...!!!

✌✌✌������������ LOOK sasa wenzao ukawa...!!! wanafanya mambo..!!!

SERA ZA UKAWA muone sasa...kwnn CCM inakufa.. hapa chini...CHEKI UKAWA..... very strategic, to the point...!!!

1: KATIBA MPYA ya WARIOBA.... na sitaki kwenda ndani zaidi, maana HII KATIBA ndio KILA KITU nchii hii kuinuka na kutembea kiuchumi, kisiasa na kijamii,

Hii katiba ITAFUTA WAKUU WA WILAYA
wote, na SERIKALI ITA SAVE TRILLIONS ya TSHS kwa mwaka.... WAKUU WA WILAYA HAWANA KAZI... ni mzigo sana kwa TAIFA hapa UKAWA watapata FEDHA TRILLIONS kwa mwaka mmoja tu... yale magari ya wakuu wa wilaya, nyumba, mishahara, allowances, mafuta, walinzi, madereva, offices etc etc... trilliions hizi ZINATOSHA KUTOA ELIMU BUREEEE... kufuta wakuu wa WILANYA
 
11: ETI nitatoa mil 50 kila kijiji, eeeehh...!! nitampa kila mwalimu Laptop... eeeehh... ACHA UONGO... hii sio SERA... ubovu na uongo mkubwa... mabilioni ya JK yote yalipotea... HIZI sio sera...!!! MWISHOWE mtatuambia MTALETA KIWANDA CHA KUTENGENEZA FEDHA KILA WILAYA...!!! 

CCM ikifuatilia kwa makini, hawana JIPYA au strategies zozote tofauti... kabisa kabisa... sera zao ni zile zile...hata wimbo wao unadhihirisha hayo, kuwa CCM ni ILEEEE ILEEEE... ooh.. CCM ni ILEEE ILEEEEE... CCM ni JANGA LA TAIFA...period...!!!

✌✌✌������������ LOOK sasa wenzao ukawa...!!! wanafanya mambo..!!!

SERA ZA UKAWA muone sasa...kwnn CCM inakufa.. hapa chini...CHEKI UKAWA..... very strategic, to the point...!!!

1: KATIBA MPYA ya WARIOBA.... na sitaki kwenda ndani zaidi, maana HII KATIBA ndio KILA KITU nchii hii kuinuka na kutembea kiuchumi, kisiasa na kijamii,

Hii katiba ITAFUTA WAKUU WA WILAYA
wote, na SERIKALI ITA SAVE TRILLIONS ya TSHS kwa mwaka.... WAKUU WA WILAYA HAWANA KAZI... ni mzigo sana kwa TAIFA hapa UKAWA watapata FEDHA TRILLIONS kwa mwaka mmoja tu... yale magari ya wakuu wa wilaya, nyumba, mishahara, allowances, mafuta, walinzi, madereva, offices etc etc... trilliions hizi ZINATOSHA KUTOA ELIMU BUREEEE... kufuta wakuu wa WILANYA

- hahahahahah ukampigie MWenyekiti wa Richmond huko UKAWA? hahahahahahahhaha umetisha sana mkuuu

le Mutuz
 
Kwanza napenda kukushukuru kwa Tathimini mkuu ukweli ni fact kabisa uliyosema na asiyeweza kuelewa ni Bingwa wa Ujeuri na atapasuka tarehe 25 mapema sana, Ukweli wanadhani kwamba CCM ni chama cha kitoto toto, kuungana juzi propaganda kama UKAWA imewafanya kuwa na chejo nyingi kiasi cha kujiona tayari wamekuwa na uwezo wa kuitoa CCM, ukweli ni kwamba bado hawajajipanga wamekurupuka na wanaota mchana kweupe, CCM ndio itakuja kutoka lakini sio kwa chama Pinzani kama ivyi tulivyokuwa navyo sasa ivyi hakuna mtu anayeweza kuitoa CCM kitoto toto. CCM imejipanga kila kona ya nchi ya Tanzania, tarafa mpaka tarafa, kata mpaka kata, majimbo mengi yameshikiliwa na CCM, na sio bara tu mpaka visiwani CCM inapeta tena kwa kishindo na mwaka huu ndo kabisa Magufuli ameweza kuzunguka kila kona ya nchi ya TANZANIA na kuweza kupata wafuasi ambayo ukiachana na wale waliojiandikisha. Mwaka huu sio ushindi tu wa Asilimia 80% ni zaidi ya hapo maana hakuna mpinzani. UKAWA ni nguvu ya soda ukifungua tu Gesi chaliii.
Napenda kuwaasha kabisa mapema kama utabaki UKAWA jua imekula kwako na ccm Mbele kwa mbele.

CHAGUA MAGUFULI, CHAGUA CCM
TUKUTANE TAREHE 25 OCT.
 
Nyie endeleeni kuzitoa comments zangu nashukuru kwa kuwa mnaziona, ADMINI hili linakuhusu wewe, Jana umeitoa leo umeitoa, nini maana ya kuweka comments box?? Sasa Nasema kuwa CCM haitaondaoka na inanafasi kubwa ya kuwaongoza Watanzania, Mkuu nashukuru kwa tathini ambayo ni facts, Upo VIZURI Sana.
 
Ukitaka kubishana na mtu na umshinde ni lazm kwanza uwe na data. dis means No data No right to talk......!!!!! Bwana mkubwa ana data za kutosha ambazo km mtu una akil timamu inayo kuwezesha kuwaza sawa sawa Utagundua ukweli upo wapi. Mkuu umetishaa sana
 
Kazi kwenu wana Ukawa na nyie tupeni taarifa zenu km hzo il tujue mpo wap koz hamkawii kusema kuna kura HEWA ZIPO MAHALI KUMBE HAMJUI NAMBAZI.....!!!!!
 
teh teh! uchaguz ukiwa huru na wa haki,ukawa watashinda kwa zaid ya 60%
 
Sababu 10 kwa nini John Magufuli atashinda uchaguzi Mkuu wa Urais 2015

1. Tanzania bara na visiwani yako majimbo ya uchaguzi 266, CCM imesimamisha wagombea Ubunge katika majimbo yote 266 huku Chadema na washirika wake wa Ukawa wakiwa wamesimamisha wagombea katika majimbo 211 (138 toka Chadema). Kati ya majimbo hayo 266, CCM tayari imepita bila kupingwa jimbo 1. Ukichukua majimbo 260 yaliyobaki na kutoa 211 ambayo Chadema na washirika wake wamesimamisha wagombea unabaki na majimbo 48 ambayo CCM haina upinzani wa Chadema wala washirika wake wa Ukawa. Majimbo haya 48 CCM ina uhakika wa kushinda walau kwa asilimia 90, ushindi huu si kwa Wabunge tu bali pia kwa mgombea Urais wa CCM.

2. Watanzania waliojiandikisha kupiga kura mwaka 2015 ni milioni 24.2. Takwimu zinaonyesha CCM ina wanachama hai wapatao milioni 8 wenye kadi na wanaolipia ada zao za uanachama kila mwaka. Kuondoka kwa Edward Lowassa katika Chama Cha Mapinduzi kunamaanisha Magufuli hatapata kura zote milioni 8 za wana CCM na pia kihesabu si rahisi wana CCM wote milioni 8 kujitokeza siku ya kupiga kura.Utafiti unaonyesha kwamba wana CCM watakaopiga kura hawatazidi asilimia 90 ya wanachama wake (milioni 7.2) huku milioni 7 kati yao wakimpigia kura John Magufuli. Historia ya CCM inaonyesha ni wanachama wachache sana humpigia kura kada mwenzao anapohama kugombea nafasi kwa chama kingine, hasa nafasi ya Urais (Rejea: Uchaguzi wa Urais 1995, mgawanyo wa kura za Augustine Lyatonga Mrema)

3. Mizunguko ya kampeni huzaa kura za ziada mbali na zile za wanachama. Tayari inaonyesha kwamba Magufuli anapita karibu kila kata ya Tanzania akitumia barabara huku upande wa Lowassa na shirikisho la Ukawa hali ikiwa tofauti, ambako amekuwa akifika sehemu chache akitumia usafiri wa ndege na helkopta na ni wazi hana stamina ya kuzunguka kwa gari nchi nzima kutokana na tatizo la kiafya. CCM ina mizizi kwenye mashina kuanzia ngazi ya nyumba kumi. Mtandao huu wa Chama pamoja na safari za mgombea wao kila kata ni kiashiria kwamba atafikia wapiga kura wengi zaidi hasa sehemu za vijijini na ambazo si rahisi kufikika. Tafiti zinaonyesha huko ndiko kwenye wapiga kura wengi na kuwafikia ni hatua moja kuelekea kuzipata kura zao na kushinda.

4. Chaguzi za Serikali za Mitaa mwaka 2014 zinaonyesha kwamba CCM ilishinda kwa zaidi ya asilimia 80 kwenye nafasi za uongozi za serikali za vijiji na mitaa. Ikumbukwe kwamba CCM ilipata ushindi huu licha ya ushindani mkubwa uliokolezwa na sakata la Escrow wakati huo. Hii inaonyesha kwamba CCM iliweza kushinda hata wakati huo wa changamoto. Ni mwaka mmoja tu umepita tangu chaguzi hizo zifanyike. Kitafiti, hiki ni kiashiria kikubwa kwamba katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, CCM kama chama kinaenda kwenye sanduku la wapiga kura kikiwa na rekodi nzuri kuweza kushinda.

5. Rekodi ya Utendaji ya Magufuli inavutia Watanzania wengi. Utafiti unaonyesha kwamba wapinzani wake majukwaani mpaka sasa wanapata wakati mgumu kutaja jina lake moja kwa moja kumuhusisha na utendaji wa hovyo. Mitandaoni zipo video na nukuu nyingi zikiwemo za Mgombea wa Ukawa Edward Lowassa, Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na wengineo wakisifia utendaji wa Magufuli. Katika siasa na kampeni, hatua moja kuonyesha mgombea anashinda ni kushindwa kwa wapinzani wake kumnyooshea kidole moja kwa moja au kukosa mabaya ya kusema dhidi yake. Asiye na la kukusema vibaya anawapa wananchi nafasi ya kuona mazuri yako na kushinda.

6. Suala la afya ya wagombea limekuwa gumzo kubwa katika uchaguzi wa mwaka huu. Huku ikiwa wazi kwamba Mgombea wa Ukawa Edward Lowassa anaugua ugonjwa wa Parkinson's kwa muda mrefu sasa, Magufuli hajawa na changamoto ya afya. Ugonjwa wa Parkinson's alio nao Edward Lowassa unaathiri ubongo wa kati, moyo, mishipa ya fahamu na uwezo wa kufikiri (Afya ya mwili maeneo hayo ni muhimu kiongozi kuwa nayo). Kwa muda mrefu Lowassa amekuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa huu katika hospitali maarufu ya Franziskus-Krankenhus mtaa wa Budapester jijini Berlin, Ujerumani. Kiumri Magufuli ana miaka 55 huku Lowassa akiwa na miaka 63. Wapiga kura huchagua kiongozi kwa kutazama muonekano na ni wazi kabisa kwamba kwa muonekano na hali ya kiafya ya Lowassa ni dhoofu na inazidi kudorora siku hadi siku na kuwakatisha tamaa hata wanaomuunga mkono. Tangu kampeni zianze hakuna mahala ambapo amewahi kuzungumza kwa zaidi ya dakika 15. Hivyo basi, kwa kadiri siku zinavyoenda Watanzania watazidi kubaini kwamba Lowassa hana afya ya kuhimili vishindo vya kampeni wala uwezo wa kumudu majukumu ya Urais.

7. Nguvu ya vyama, oganaizesheni na ilani. Magufuli anatokea CCM ambayo kama nilivyoeleza juu ina nguvu ya kuwepo kila kijiji na kila nyumba kumi Tanzania; imetoa marais waliotangulia, na hata wapinzani wametoka katika CCM hiyo hiyo baada ya kukosa nafasi za kugombea kupitia chama hicho. Kwa miaka mitatu iliyopita Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amezunguka kila kona ya nchi akikinadi chama chake, hii ni aina ya kampeni ambayo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa. Kwa upande wa upinzani hali iko tofauti. Mgombea wao, Lowassa alikuwa mwanachama wa CCM miezi miwili iliyopita, kuingia kwake Chadema kumeleta mpasuko huku Katibu Mkuu wake akitokomea kusikojulikana, na Mwenyekiti wa CUF, Lipumba naye akijiuzulu uongozi kupinga Lowassa kukaribishwa Ukawa. Hii inaonyesha hali si shwari katika upinzani. Kwa sasa Ukawa wanaficha mpasuko huo kwa propaganda lakini madhara yatajitokeza kabla ya siku ya uchaguzi. Moja ya viashiria vya mpasuko katika Ukawa ni kuvunjika kwa makubaliano ya kuweka mgombea mmoja wa Ubunge katika kila jimbo. Zaidi ya asilimia 70 ya majimbo yana wagombea Ubunge toka vyama vyote vinavyounda Ukawa. Kwa mfano Lowassa, kama mgombea Urais wa Ukawa, akienda Ubungo ambapo kuna wagombea toka Chadema, CUF na NCCR atamnadi mgombea yupi?

8.Kuondoka kwa Dr Slaa Chadema, tuhuma za Mbowe kuiuza Chadema kwa Lowassa kwa TZS bilioni 10 (ambazo Dr Slaa amezithibitisha) na ukawa kuhama kutoka kumuita Edward Lowassa fisadi mkuu wa nchi miaka michache iliyopita hadi sasa kumfanya kuwa mgombea wao. Hii imewakanganya Watanzania wengi na wote wanaochukua muda kulitafakari wanazidi kupata maswali zaidi. Uamuzi wa mpigakura katika hali kama hii ni kuendelea kulipigia kura zimwi alijualo (CCM) kuliko zimwi jipya asiloelewa (Ukawa).

9. Matumizi makubwa ya fedha katika kutafuta madaraka. Mpaka mwisho wa mwezi Agosti 2015 Lowassa alikuwa tayari ametumia zaidi ya TZS bilioni 106 kwa kipindi cha miaka miwili na nusu kwanza kutafuta nafasi kugombea ndani ya CCM na kisha kuhamia Ukawa. Wananchi wengi wanahoji zinapotoka fedha hizi, wengi wakikumbuka kauli ya Mwalimu Nyerere kwamba "Mtanzania wa leo hawezi kukununua kabla ya yeye kwanza kununuliwa". Wananchi wanahoji namna gani Lowassa anapanga kurejesha fedha hizi iwe zake (pia wanahoji kazipataje) au za marafiki zake (lengo lao kumpa fedha ni nini). Magufuli hana kashfa ya namna hii na hata kampeni zake za kuomba kuteuliwa ndani ya CCM hazikuwa za matumizi ya fedha kabisa. Kama wananchi watapiga kura kwa kuangalia uadilifu katika kupata na kutumia fedha, na pia kama watapiga kura wakiamini kwamba Ikulu si mahali pa kufanya biashara ili mtu arejeshe fedha alizotumia wakati wa kampeni na kuhonga kupata nafasi basi Magufuli ana nafasi kubwa ya kushinda.

10. Mzimu wa Mwalimu Nyerere: Mwaka 1995 Mwalimu Nyerere alisema wazi kwamba Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania, alikatwa jina lake kwa haki (video ya Mwalimu akisema haya iko mitandaoni na ni moja ya video zinazotazamwa kwa wingi wakati huu wa uchaguzi mkuu) na hakuna maana kuendelea kumjadili na kwamba chama kisonge mbele. Watu wanaomjua vizuri Lowassa na shughuli anazozifanya wanasema kwa miaka 20 Lowassa hajabadili zile sifa zilizomfanya Mwalimu kutamka maneno yale mwaka 1995. Hata alipoomba familia ya Mwalimu Nyerere kumuunga mkono alipoondoka CCM alijibiwa wazi kwamba yeye hajawahi kuwa chaguo la Mwalimu. Watanzania bado wanamuheshimu na kumuamini Mwalimu Nyerere na ni wazi watachagua kiongozi wakifuata wosia wake. Uadilifu wa Magufuli utamuwezesha kuaminiwa na Watanzania na kushinda nafasi hii.

- hahahahahahaha nilitabiri this then ikawa kweli U know

le Mutuz Nation
 
Back
Top Bottom