Recent content by Michaelnyange

  1. Michaelnyange

    Natafuta wa kunipoza machungu niliyonayo

    Hata huku kama anaomba Mungu atapata tu wewe una tafsiri vibaya maandiko
  2. Michaelnyange

    Nokia phone

    Mwisho wa maombi ni tarehe 3 /10/2014
  3. Michaelnyange

    Nokia phone

    Anaependa kaz ya kumarket na kuuza vitabu pls wasiliana na hawa watu wenye namba hii 0717400039 +255717071466
  4. Michaelnyange

    (Kambi Ya Kimataifa kwa Vijana) Tanzania International Youth Camp

    Mi nilishawahi kuhudhuria lazima nije najua umuhimu wake.
  5. Michaelnyange

    (Kambi Ya Kimataifa kwa Vijana) Tanzania International Youth Camp

    Waziri Dk. Fenella Mukangara na naibu wake ni Juma nkamia,upo hapo?utakuwepo kwenye kambi?
  6. Michaelnyange

    Interview SSRA

    Ni post 1
  7. Michaelnyange

    Interview SSRA

    Sorry sio nane ngoja nicheki
  8. Michaelnyange

    Interview SSRA

    Kama unaweza kesho tukutane mkuu 0717400039 ,namba yangu hiyo
  9. Michaelnyange

    Interview SSRA

    Mi nipo dar,zipo post 8 mkuu,sasa sijui nisome wapi,we upo maeneo gani?
  10. Michaelnyange

    Interview SSRA

    Unakuwa unapewa tu maswali ya kawaida simple math,eng structure kidogo na ya elimu ya uraia kidogo mfano anaeza kukuuliza labda utaje maraisi wa east africa au mlima kilimanjaro una urefu gani au waziri wa afya ni nani, nk na mm pia nimeitwa hiyo tar 5 jmosi post ya management information...
  11. Michaelnyange

    PPF wameita interview

    ni kweli chagua moja, mfuata mawili yote humponyoka
  12. Michaelnyange

    PPF wameita interview

    we acha mm nimepigiwa saa 2 bahati nipo dar, pole ndugu yangu
  13. Michaelnyange

    Natafuta Smartphone

    Mi nauza Samsung galax advanced lak 3 tu ila nimeshaitumia dukani ni kama laki 5 kwa sasa na nauza tab 3, 7.1inch laki 5 na 30 ni mpya kabisa,0717400039
Back
Top Bottom