...uko sahihi ndg michango mashuleni sasa imekuja kwa kasi ya uchumi wa kati...tanesco ndo imeoza kabisa licha ya kusema nguzo bure hata ukilipia utakaa mpaka usahau kupata huduma Nina zaidi ya miezi 2 dana dana kibao wanatengeneza mazingira ujisachi
Msamehe hajui nini maana ya elimu bure na inawezekana anaishi kwa wifi hajui shida wanazokutana nazo wazazi wanapopeleka watoto wao shule hii mada inamzidi umri alipaswa akae kimya waongee wazazi/walezi sio walelewa inatia hasira Sana unapeleka mtoto shule unaambiwa utoe elfu 50 ya kiti na elfu...
... wakati mnatangaza kwa vibesi kwamba mnatoa elimu bure mlikuwa mnataka kumfurahisha nani kama mlifahamu jeuri hiyo hamnayo?...acheni kucheza na maisha ya watoto wetu bora mngesema mapema wazazi wakajipanga
...unaelewa maana ya neno elimu bure?....kama serikali kupitia Kodi zetu imeshindwa kuleta viti na kuongeza madarasa inataka wananchi ndio wajikamua walete inawezaje kusema inatoa elimu bure?...ebu waulize viongozi wako wakati wanapewa elimu bure walikuwa wanaenda na viti shuleni wakati huo...
...unachosema inawezekana ikawa kweli kabisa mfano nimepeleka mwanafunzi wa kidato cha Kwanza kangaye sc ilemela mwanza....dawati elfu 50. Pesa ya ujenzi elfu 10 nk..
...kumbuka Moto wa 2020 sio wa nyasi kama 2015 pia tundu lissu sio goigoi kama lowasa amini nakwambia mwaka huu utaziona nyeti za kuku mchana kweupe kama wakileta mazoea ya ya iyo miaka ulioitaja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.