Maneno machache kwako wewe ambaye dunia bado inakuweka chini,
Hawakujui,
Watafanya kila liwezekanalo kukufanya ubaki ulipo,
Watalipa polisi wakuweka ndani bila wewe kufanya kosa,
Watakutishia,
Watabadilisha maneno waliosema na kutumia nguvu zao kukuhutumu,
Wataongea juu yako bila kukupa...