Recent content by Michael Joseph Jackson

  1. Michael Joseph Jackson

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Wameangalia vigezo gani kwenye kupiga panga mzee????
  2. Michael Joseph Jackson

    Mambo ya kuzingatia kabla ya kwenda kwenye usaili wa Jeshi la Polisi

    Mi mwenyw nimeuliza sana lakin wapi! Cjapata jbu mpak muda huu.
  3. Michael Joseph Jackson

    Mambo ya kuzingatia kabla ya kwenda kwenye usaili wa Jeshi la Polisi

    Kwa anayefahamu usaili kwa watu wa kinondoni tunaenda wapi maan hakuna taarifa rasmi.
  4. Michael Joseph Jackson

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wakuu hivi watu wa kinondoni usaili tunafanyia wapi.. Dah sielewi hapa
  5. Michael Joseph Jackson

    Jinsi Mgambo alivyonidhalilisha mbele ya Askari Polisi

    Daaaah nmecheka knoma 😂😂😂😂😂😂
  6. Michael Joseph Jackson

    Ukweli usemwe: Chris Brown ni mkali kumzidi Michael Jackson

    Chriss brown mwenyewe aliwahi kusema msimfananishe na MJ... Hakuna kama Michael Jackson aisee huyu jamaa alikua ni mtu mwingine kbsaaaaa...fikilia tu album yake ya (Thriller 1988) ndo album inayoshikilia record ya mauzo makubwa duniani mpaka leo 2024 JUST IMAGINE 😁 Kingine Michael Jackson...
  7. Michael Joseph Jackson

    Michael Jackson special thread....

    Unaijua Al capon?
Back
Top Bottom