Habari zenu ndugu naitwa michael Israel,elimu yangu kidato cha NNE natafuta kazi,ya saidia fundi ujenzi,kuuza duka kutunza bustani,kuhudumia mifugo na mengineyo.nisaidieni NDUGU zangu namba zangu no 0768581900 au email yangu no israelmichael47@gmail.com.usiku mwema wanajamii forum
Naitwa Michael Israel umri wangu miaka 25, EElimu yangu kidato cha NNE,naishi Dar es salaam-temeke buzz.lengo LANGU kuomba nafasi yoyote ya kazi,kuuza duka,kutunza bustani KAZI za nyumbani.kama kuna mwenye uhitaji wangu atanipata kwa namba 0768581900.natanguliza shukrani zangu kwenu nyote.mchana...
natafuta kazi elimu yangu form four.naweza kazi ya saidi fundi katika ujenzi nakazi zingine zozote ambazo haziitaji taalumu ya mtu no zangu ni 0768581900
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.