michael israel
New Member
- Jun 29, 2015
- 4
- 0
Naitwa Michael Israel umri wangu miaka 25, EElimu yangu kidato cha NNE,naishi Dar es salaam-temeke buzz.lengo LANGU kuomba nafasi yoyote ya kazi,kuuza duka,kutunza bustani KAZI za nyumbani.kama kuna mwenye uhitaji wangu atanipata kwa namba 0768581900.natanguliza shukrani zangu kwenu nyote.mchana mwema