Recent content by michael hengele

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa katika mtihani mzito, kashfa ya Richmond kufufuliwa upya

    Timu ya kampeni ya ccm itammaliza lowasa kama ndio ameanza kudondoka ovyo tu kwake hata kampeni hazijaanza itakuwaje sasa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

    Mbowe punguza uzushi sie hatukuamini tena wewe umekuwa unapenda hela sana chama umekiua wewe na matamaa yako ya kijinga kama wapo na ccm inawapiga mapema tu na huyo lowasa wako
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ACT-Wazalendo yakutana Double Tree Hotel, Dar - Agosti 15, 2015

    Kwani hamjui ccm itashinda kwa kishindo?halafu hapo mbona simuoni zitto Wala nape
  4. M

    JamiiForums Tanzania RPC Mbeya, Kamanda Msangi azuia maandamano ya kumpokea Lowassa

    Asante baba kamanda wangu msangi wamekusikia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ni nyoka wa aina gani? Nimemuua hapa home

    Huyo nyoka ni hatar sana tena ni nyoka mwenyewe sumu kali na wachawi wanapenda sana kuwatumia kwaajili ya kumgongesha mbaya wao
Back
Top Bottom