Recent content by MICHAEL FUTE SADICK

  1. MICHAEL FUTE SADICK

    JamiiForums Tanzania Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

    Nahisi amesema Ni gafla kwa mantiki ya kwamba sis wananchi tumestukia tuu Pa,Ka yupo ikulu na mama. . Wakati... vice wa USA..tulijulishwa.. kila hatua za ujio wake.
  2. MICHAEL FUTE SADICK

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    mungu akubariki sana ndugu umenipa madini nmekuelewa.... Kilichobaki nikujiongeza tuu
  3. MICHAEL FUTE SADICK

    JamiiForums Tanzania Mapenzi katika biashara

    Tafuta kijana ataye jifanya kama anaukaribu nao lakini ni kwa faida ii ile hela irudi mahala pake ila muonye asijaribu kuchovya kweliii
  4. MICHAEL FUTE SADICK

    JamiiForums Tanzania Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Inategemeana na sehemu uliyopo na nn kinakosekana sana hapo ulipo ndo fursa za kitu chakufanya zinapatikanaaaa ila wew mwnyew ndo wakufnya utafiti mzur kulingn na sehmu uliyopooo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. MICHAEL FUTE SADICK

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    najifunza mengi sana humu... nadhani siku si nyingi ntaazisha namm biashara yangu.. namba tu tusiacha kushauriana pindi tunapohitaji msaada wa ushauri kwa wale wazoefu..... Ahsanteniii
Back
Top Bottom