Kwahiyo watu wanaochinja ng'ombe,mbuzi,kondoo na KUKU wanapata dhambi eti kwasababu imeandikwa "USIUE?!"
Mara ngapi kila siku tunaambiwa polisi wameua watu "wanaosadikiwa kuwa ni majambazi" na hatulalamiki?!
Ukiona nyoka anaingia ndani mwako umwache tu kisa imeandikwa "USIUE?!
Hiyo ni akili ya...
Mimi nawapongeza sana polisi na JWTZ kwa kile walichokifanya October mwaka jana!
Wasingechukua hatua mapema nchi ingeharibika kutokana na genge la magaidi lilokuwa limeingia mitaani likipora mali katika maduka na kuchoma moto mali za raia wasiokuwa na hatia.
Kiukweli vyombo vya ulinzi na usalama...
DUA LA KUKU HALIMSHIKI MWEWE.
Samia ataendelea kulitumikia taifa la Tanzania kulingana na matakwa ya katiba .
Na muda wake wa kustaafu ukifika atastaafu kwa heshima kama walivyostaafu Marais waliomtangulia.
Kiamsheni tu!
Ila kwa taarifa ni kwamba October mwaka jana polisi hawakumaliza akiba yao ya risasi.
Bado wanazo risasi za kutosha tu hata mkija wengi mara kumi ya wale waliotoka mwaka jana bado risasi za kuwatosha zipo kwahiyo namna mtakavyokuja ndivyo polisi watakavyowapokea!.
Mimi ninamuombea Rais wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan Mungu aendelee kumlinda ,apate nguvu, afya njema ili aendelee kuwatumikia watanzania.
Wanaomchukia mh Rais Samia watakufa na chuki zao kwa sababu hawana wanaloweza kumfanya kwakuwa watanzania tunamuombea dua njema na vyombo vya ulinzi na...
Kama ni muhimu sana kujua Nchimbi yuko wapi we uliza nyumbani kwake Nchimbi NI wapi halafu nenda kaulizie kama yupo au hayupo!
Usingoje waandishi wa habari wakaulize Kwa niaba yako wakati wewe mwenyewe hapo ni mwandishi wa habari!
Swali la kuuliza ni hivi Nchimbi nyumbani kwake ni wapi?
Nenda...
Umenena vizuri.
Kuna watu ni viherehere kama vile wana uchungu nae kuwashinda ndugu zake.
Lakini si vibaya mtu aulizie Nchimbi anaishi wapi aende nyumbani kwake akahakikishe kama yupo au hayupo?!
Hili swala la watu kwenda kuulizia nyumbani kwake watu haiwaki.
Wanataka kuulizia mitandaoni...
Hivi una uhakika huyo nchimbi umayemuulizia yeye amewahi kutaka kujua wewe uko wapi?!
Wewe hujui mimi niko wapi , na mimi sijui wewe uko wapi, nchimbi hujui Mimi na wewe tuko wapi, na sisi hatujui nchimbi yuko wapi! Mbona kawaida Tu?!
Emanuel Nchimbi kastaafu siasa na utumishi wa uma.
Kwa sasa...
Wewe October 29 ulikuwa wapi mbona hukuuawa au wewe sio mtanzania?!
Kwa huyo daktari aliyejifanya ni mandonga kumpiga trafiki Mimi nawapongeza wananchi pamoja na wanajeshi waliomshushia kipigo hadi kwenda kulazwa ICU , hilo iwe NI funzo kwa yeyote asiyewaheshimu walinzi wetu wa usalama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.