Recent content by miaq

  1. miaq

    Kwanini nchi yetu hairuhusu watu kulipwa kwa Paypal? Kuna sababu gani ya msingi?

    Unajua sometime unaamua tu ukae kimya mana ata ukiandika umu sizani km izi mada zinafika mahari usika mana nimiaka sasa tunaongelea maswala ya paypal na kwann isitafutwe njia yakufikia mamlaka usika wizara ya fedha au bot watoe tamko km aiwezekani bc wabongo tuwetu waarifu tutafute wakenya...
  2. miaq

    PayPal to M-Pesa project - Lets discuss

    Mm pia nateseka nikiwa nchini kwangu tanzania nimepoteza $100 niliyoiangaikia mtandaoni.sababu Paypal ipokei el ukiw tanzania ikabidi nitumie option 2 nikatumiwa elayangu kwa...... paysafe card ....apo ndiko niliko pigwa na wajanya wakati nafanya mchakato wakuitoa aya yasingenikuta km ela...
  3. miaq

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    TUSUA SPOTI..mchezo wa kubahatisha unao endeshwa KITAPELI. Nasema kitapeli sababu ya kwamba mnatumia maneno ya kilaghai kwa mteja huku mkijua kabisa sivyo ilivyo huo ni wizi. Mfano ukisema watu washindane kukimbia na mshind wa kwanza ata jishindia elfu 60 mfano alafu,asa mtu akimbie na baada...
  4. miaq

    Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    Je naweza kununua bidhaha bilakuana box postal. S. L. P natakununua naomba msaada wa jibu
  5. miaq

    Paypal inafanyaje kazi aliexpress na ebay?

    Nimejifunza mengi kupitia mkwanza.com.uriye post iyi PDF munguakubariki......
Back
Top Bottom