je iwapo utakaa mbali na mpenzi wako ,kwa mda mrefu na unampenda na huwezi kumcheat,je kutokufanya mapenzi muda mrefu ,labda miaka minne kuna madhara yeyote kiafya,,mimi ni mwanaume
Basi kuna jamaa mmoja alitaka kujiua.kisa kila alipokuwa akifanya kazi kidogo tu anafukuzwa.rafiki take akamshauri aende jeshini,jamaa akasema nitaweza kweli .rafiki akasisitiza aende,basi jamaa kufika tu jeshi kaomba kazi kapata na wiki ya kwanza wamepelekwa msituni Kwenye mazoezi ya kulenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.