Recent content by MI6136

1. M

JamiiForums Tanzania Bilioni 18 zilizokutwa katika akaunti ya wakili Arusha zina uhusiano na siasa za 2015?

ma snitch bana!,umbea mwingi mbayaa! Why dont you focus on your own life? ma speculation kibao! F*#&¤
2. M

JamiiForums Tanzania Wakili maarufu arusha akutwa na tsh 40 billion za AL shaabab

a silly question deserves a silly answer, the same applies to silly arguments, it is embarrasing kwa mtu mzima kama wewe sijui nani siju BABA V kushabikia upuuzi wa huyu bwana, taaarifa ya habari ya tbc ya tarehe tisa siku ya mwezi wa nane mwaka huu ilisema anashitakiwa...
3. M

4. M

JamiiForums Tanzania Wakili maarufu arusha akutwa na tsh 40 billion za AL shaabab

Inawezekana akili yako ni finyu kama pale mkojo wako unapofikia ndio akili yako inapo ishia, usifikiri watu wanafanya kesi tu ndio wanpata hela kijana, the issue here sio kupinga mtu kuchunguzwa na usalama, issue hapa ni TAARIFA, Toa taarifa za kweli sio umbea, swa la undugu...
5. M

JamiiForums Tanzania Wakili Medium Mwalle alazwa Mount Meru

it is really embarrasing to read some of the views reported herein, kwa mfano tu unasema WAKILI MWALE ALIKUA ANAHONGA KESI NA NDIO MAANA ALIKUA AKISHINDA KESI, haya mambo mbona hamkuyasema siku zote na iwe leo? Sabaabu kubwa ya watu kudharau hii jamii forum na taarifa zinazoolewa humu ndani ni...
6. M

JamiiForums Tanzania Wakili Medium Mwalle alazwa Mount Meru

kumbe humu ndani mnaweza kufuta comment za watu?
7. M

JamiiForums Tanzania Wakili Medium Mwalle alazwa Mount Meru

HAHAHA MA HATER BWANA, every one with his or her different story, JEALOUS PEOPLE NEVER WIN, HAPO WATU FLANI WANAFURAHI, NGA**, oo*** jealous people never win baab chongeni sana mwisho mtanyamaza tu na kelele za chura hazimzuii te mbo kunywa maji
8. M

JamiiForums Tanzania Wakili Mediam Mwale adaiwa kukutwa na TZS 18 bilioni haramu

kweli kila jambo litasemwa humu ndani, but sijapata kuona watu wajinga kama wanaopoteza muda kuongea vitu vya uongo, hivi nyinyi wtu huu umbea wote mnao uandika huku ndani mnajua ukweli wake? acheni unafiki
9. M

JamiiForums Tanzania Interpol wanasa bilionea mwingine Arusha

bwana mashalla maneno yako yako hata nyuma ya kanga kwa kua hayana maana na ndio maana hua yanakaa nyuma ya kanga, usitumie peni yako kama silaha ya kueneza umbea, ni vyema ukafuata weledi na taaaluma yako inakutaka ufanye nini kabla ya kuandika habari, unajua tatizo letu sisi wabongo umbea...
Back
Top Bottom