Recent content by Mhusika mkuu

  1. Mhusika mkuu

    JamiiForums Tanzania Tazama picha hii ya Lissu upate kujua anachukuliwaje ndani ya CHADEMA

    Kwa hiyo unatoa bure?
  2. Mhusika mkuu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, nenda mahakamani badala ya kulalamika huko Kenya

    Itakuwa Mahakama ya Ndizi.
  3. Mhusika mkuu

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA mnasikitisha hamuaminiki tena

    Subira umeacha kuvuta kheri sasa hivi unavuta Bangi!!
  4. Mhusika mkuu

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi alipewa na nani siri ya Ziara ya Rais Samia Nchini Marekani wiki moja kabla ya kutolewa Taarifa rasmi?

    Duh, kwa hiyo hata Machawa hampewi taarifa? Nyie ni mapambio tu!!
  5. Mhusika mkuu

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad ashtakiwe kwa kukiuka maadili akiwa ofisini. Alimpeleka dereva kufanya kazi masjala isiyoendana na proffession yake

    Kama itakupendeza naomba CV ya Waziri wa Afya wa sasa
  6. Mhusika mkuu

    JamiiForums Tanzania RC CHALAMILA: Kuna kukosa uelewa kusema Polisi ndio wanahusika na utekaji

    Huyo RC ndiye amehemuka.
  7. Mhusika mkuu

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA yapuuzwa na kukataliwa na Wananchi

    Luka sasa hivi huweki kabisa namba ya simu, umekata tamaa kabisa?
  8. Mhusika mkuu

    JamiiForums Tanzania Hivi Mhe.Rais akiamua na yeye kwenda Mahakamani kudai haki yake ya kubaguliwa na Mbowe na Lissu kwenye majukwaa ya siasa c itakuwa balaa

    Mmemuingiza cha kike mchungaji tapeli, achague asukwe au anyolewe.
  9. Mhusika mkuu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hakuna chama chochote cha siasa nchini Tanzania kilicho na sera Bora zaidi ya ACT Wazalendo

    Nilipoona Jina lako tu nikaelewa uelekeo wa upeo wako.
  10. Mhusika mkuu

    JamiiForums Tanzania TFF ijitokeze kupinga hukumu ya mahakama ya kisutu kwa Yanga ni batili, Tangu lini kesi za mpira zinaamuliwa kisutu?

    Hii ni kesi ya Kikatiba elewa hapo kwanza
Back
Top Bottom