Pressure ya mwili mara nyingi hubadilika kulingana na situation uliyopo. Inaonekana wewe ukiitwa kwenye usaili au kuonana na daktari huwa unaingiwa na hofu inayofanya pressure yako kuwa juu kuliko kawaida. Kwa muono wangu mtu anahesabika kuwa na pressure ya juu ( hypertension) endapo pressure...
Asali na sukari ya kawaida inayotokana na miwa (sucrose) ni disaccharides zinazoundwa na sukari rahisi ( monosaccharide) za Aina mbili glucose na fructose. Tofauti ya asali na sukari ya miwa Ni uwiano wa sukari rahisi ambapo asali ina asilimia 40 fructose na asilimia 30 Ni glucose. Sukari ya...
Matunda Ni mazuri kwa afya kwani yana vitamins nyingi ambazo hazipatikani kwenye vyakula vingine! Kama huna tatizo la kisukari unaweza kula matunda ya aina zote . Ila kwa mtu mwenye kisukari anapaswa kula matunda yasiyo na sukari nyingi ilikuepuka kupandisha sukari kwa haraka ( spiking of...
Ukienda hospitali ubahatike kukutana na daktari aliyebobea (specialist) kwenye magonjwa ya kisukari. Ukimkutà generalist anaweza asiwe msaada. Wengi huwa wanamuandikia mgonjwa dawa za kisukari bila kumshauri mgonjwa aanze na diet na mazoezi kwa muda fulani kwanza. Wengi wanashauri wagonjwa wale...
Shida ya huu ugonjwa unajijenga taratibu kwa miaka mingi. Ukiona dalili ujue magnitude ya tatizo ni kubwa. Watu wengi wanaviashiria vya kisukari lakini hawajui. Jambo la msingi ni kuepuka maisha ya kivivu (Sedentary life style) na ulaji wahovyo.
Umeuliza swali zuri sana! Hizi
higher degrees ukiwa kilaza au mvivu itakuchukua muda sana kugraduate! Research Ni yako lazima ukomae, supervisor yupo pale kukuguide tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.