Recent content by Mhudumu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi kazi yake ni kulinda mipaka ya nchi, uchaguzi ni tume ya uchaguzi

    kila nyakati zina changamoto zake. jeshi lina kazi ya kulinda mipaka ndiyo lakini ukumbuke kuwa kipindi cha uchaguzi maadui hupenda kujipenyeza mipakani ili kuchochea vurugu.kama serikali imejiridhisha kuwepo kwa hali hiyo, tukubali tu tuwe wapole jeshi lifanye kazi yake
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa tutafute nje ya boksi

    kigwangala hajawahi kuwa Waziri
  3. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA jiandaeni kisaikolojia 2015

    UKAWA ni maarufu wa kutafuta umaarufu lakini siyo kuwatumikia wananchi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA jiandaeni kisaikolojia 2015

    wanaota mchana kweupe.
  5. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA jiandaeni kisaikolojia 2015

    mnaanza kutapatapae
  6. M

    JamiiForums Tanzania ACT-Tanzania mkoa wa Dar es salaam yaunga mkono maazimio ya kamati kuu

    ushahidi wa unachokisema?
  7. M

    JamiiForums Tanzania ACT-Tanzania mkoa wa Dar es salaam yaunga mkono maazimio ya kamati kuu

    pigo kwa CHADEMA
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tuna sambaratisha nchi wenyewe

    tehe tehe tehe, amevurugwa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tuna sambaratisha nchi wenyewe

    umesema ukuaji wa demokrasia hapa nchi ni wa hali ya juu, unajua ni kwa nini?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe hatarini kuumbuka, TPDC waweka hadharani gharama za Ujenzi wa Bomba la Gesi

    Upande wa pili ndo upi?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

    mwaka huu amekutana na kiboko yake
  12. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

    miaka mingi mkurugenzi wa TRA amekuwa akitokea kaskazini na kuwa vigumu kuchukuliwa hatua na wachaga wenzake
  13. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

    mkuu weka video inayomuonesha Muhongo akihutubia mara na mwanza ili tumuone mleta mada mi muongo, la sivyo vibaraka wa Mengi mmeumbuka mchana kweupe
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

    ujinga wa Mengi nadhani unakolezwa na kule kuoa wajukuu zake
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu makubwa ya prof.Muhongo

    kazi kwelikweli.huyu mzee wa kuchukua wajukuu zake utajiri wake unamponza
Back
Top Bottom