Recent content by Mhoza

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, sisi wafuasi wa Hayati Magufuli tupeleke wapi kura zetu 2025?

    Tunasubiri kwa hamu kuanzishwa kwa UMOJA PARTY.
  2. M

    JamiiForums Tanzania ORODHA ya mashirika 58 yasiyo changia hata mia kwenye mfuko wa serikali

    Sasa wanataka yachangie nini na wakati karibu mashirika yote yapo katika kutoa huduma tu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu ujao kufanyika mwaka 2026?

    Basi sawa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, ungependa nini kiwemo kwenye Katiba Mpya? Mimi napendekeza Ruzuku ya Vyama vya Siasa iondolewe!

    Budget ya kuandaa katiba mpya ipelekwe kujenga vituo vya kutolea huduma za afya.
  5. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaanza kuwatembelea Wananchi Waliotelekezwa na CCM

    Hongereni kwa matembezi ya hiari Mungu awatangulie.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kaka Yangu Kahukumiwa Miaka 30 Leo

    Pole sana ndugu hii dunia ina mambo magumu sana.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa ACT Wazalendo na Maalim Seif

    We jamaa wewe si ukisema Lissu asiposhinda Urais utakuwa tayari kufunuliwa malinda.
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

    Washughulikie kwanza madai ya Trump kuibiwa kura.
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimesimamia uchaguzi, nimetenda haki

    Hizi ni propaganda za level ya chini sana, tuliwaambia mapema kwamba mnaenda kupokea kipigo cha Mbwa mwizi na imekuwa hivyo.
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tarehe 28/10/2020: Siku ya kuweka Historia kuu Tanzania

    Tulia tarehe 28/10/2020 ifike ndiyo ujue kwanini mtoto hakui kwa baba.
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tarehe 28/10/2020: Siku ya kuweka Historia kuu Tanzania

    Jaribuni kulinda kura muone mtakabyochezea vitasa
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tarehe 28/10/2020: Siku ya kuweka Historia kuu Tanzania

    Wewe kajamaa hadi nakuonea huruma umavyojipa matumaini hewa.
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tarehe 28/10/2020: Siku ya kuweka Historia kuu Tanzania

    CCM itaendelea kuwa madarakani baada ya tarehe 28/10/2020.
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA kuweni makini sana na Uchaguzi huu

    Move ya kitoto mliyoitengeneza, upigwe risasi mguu wa kushoto harufa uathirike mguu wa kulia .
  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 RC Songwe: Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe umeiacha vizuri unaweza usirudi au ukarudi mlemavu

    Kama watu walivyo serious pia na vyombo vya Ulinzi na usalama vipo serious kudeal na wasiofuata sheria.
Back
Top Bottom