PITCH YA KILIMO– MANTO FARMING SOLUTIONS(MARTIN MHINA
Habari za wakati huu Ndugu,Jina langu naitwa Martin Mhina, mimi ni Bwana Shamba na mwanzilishi wa MANTO FARMING SOLUTIONS.
Tunajishughulisha na uzalishaji wa mazao ya chakula kwa mpangilio wa misimu ili kuhakikisha tunazalisha mwaka mzima...
PITCH YA KILIMO– MANTO FARMING SOLUTIONS(MARTIN MHINA)
Habari za wakati huu Ndugu,Jina langu naitwa Martin Mhina, mimi ni Bwana Shamba na mwanzilishi wa MANTO FARMING SOLUTIONS.
Tunajishughulisha na uzalishaji wa mazao ya chakula kwa mpangilio wa misimu ili kuhakikisha tunazalisha...
Habari Ndg naomba kwa wadhoefu wa field msaada mchanganuo wa gharama kwa ekari moja wa mazao yafuatayo tafadhali nipate mwanga
1. Nyanya ekari moja
2.Vitunguu vya kawaida ekari moja
3.Hoho ekari Moja
4.Kabage ekari Moja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.