Recent content by MHIKA

  1. M

    Ni nini kitakuwa sahihi zaidi mm kusomea?

    Unaweza kusoma course ya phamacy 1. Diploma in pharmacy (st. John dodoma) 2. Certificate in Phamacy 3. Basic certificate in pharmaceutical dispensing 4. Medical attendant (M.A) 5. Diploma in sociology ( udom, sauti, n.k 6. Diploma in health management system ( cedha arusha 7. Diploma in...
  2. M

    Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

    Kwamfano ukiwa umechaguliwa chuo na hujaenda na uliomba mkopo na ukapata ila ukwenda chuo ukikaa baada ya miaka miwili ukaomba tena kwenda chuo je unaweza kupata mkopo??
  3. M

    Wapi naweza kupata vifaa vya maabara kwa Mwanza

    Karibu nikuuzie nipo dar kama hutojari mwanza naweza kukufanyia delivery mkuu
  4. M

    Hivi Cheti Kinaweza Tumika Mara 2??

    ndio cha 4m4 ww unakitaji 2ongee bei
  5. M

    Hivi Cheti Kinaweza Tumika Mara 2??

    aisee kama jamaa anataka chet mwambie aje achukue chakwangu anipe iyopesa maana kila nikifuatilia chuo cpata huu mwaka wa pili so nimeamua nikiuze nifanye biasha pls kama vp ni pm
  6. M

    Msaada jamani ndugu zangu

    aiseee oky ahsante kwa msaada wako kaka
  7. M

    Msaada jamani ndugu zangu

    ahsante kaka xaxa kwamwaka huu vp sitowezapata nafasi
  8. M

    Msaada jamani ndugu zangu

    clinik lab unaweza niambia chuo gan naweza kupata ndugu yang especially vya watu binafsi
  9. M

    Msaada jamani ndugu zangu

    nimemaliza form4 mwaka 2013 nimepata chemistr d bios c physics e math f geography d histr d civics d kiswahili d english b naomba msaada kwa anaye kifahamu chuo kinacho weza nichukua kwa ufauluhu huo bt vyuo vya afya pls jaman
  10. M

    Chuo Kikuu Dodoma, waliodahiliwa shahada ya kwanza 2014/15

    samahan kaka B.G naomba uni pm 0719196882
  11. M

    Maombi ya nafasi za masomo ya Afya

    Samahan kama ntakuu udhi kaka iv uko wap yawezekana 2kasaidiana mwazo kidogo
  12. M

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    habariyako kaka juma pls naomba uni pm nashida na ww no 0719196882
  13. M

    Vyuo vya kusomea Lab. Technician

    xamahan kaka iv icho chuo cha besha kimesajiliwa na nacte? msaada tafadhal ndugu yangu
Back
Top Bottom