Recent content by Mhigwa one

  1. Mhigwa one

    Gharama za fee na mambo mengine Mzumbe kwa undergraduate

    Nashukuru nimeona walikuwa hawajaniwekea
  2. Mhigwa one

    Gharama za fee na mambo mengine Mzumbe kwa undergraduate

    Ndio kaka nahitaji kujua ni shilingi ngapi nalipa kwa ujumla
  3. Mhigwa one

    Habari Njema Kutoka Acacia: Wakubali Kila Kitu Ikiwemo Kulipa Kishika Uchumba Cha Dola Milioni 300

    Wadau kwanza namshukuru Mungu kwa kupata chuo hasa baada ya mwaka huu kuwa na ushindani mkubwa. Mimi ni miongoni mwa wanafunzi waliopita stashahada(diploma) na kupata GPA ya 4.6 niliomba udom na mzumbe na kupata course zifuatazo, udom nilipata Bachelor of Educational management and...
  4. Mhigwa one

    Gharama za fee na mambo mengine Mzumbe kwa undergraduate

    kaka nimeiona sehemu kushoto imeandikwa fee and accommodation lakini inaniambia print niki command print vinakuja vitu vingine ndio maana nataka mwenye attachment ya fee and accommodation ai attach wadau
  5. Mhigwa one

    Msaada wakuu jinsi ya kuhama chuo

    Wadau nipeni ushauri nilipata vyuo viwili udom na mzumbe na mimi ni mtumishi wa serikali idara ya elimu nili confirm vyote bahati nzuri mzumbe wamewahi kunitumia joining kabla ya udom. Na barua zangu za kwenda kusoma niliomba kwa kutumia kozi ya mambo ya elimu nimepitishiwa barua zangu ila lengo...
  6. Mhigwa one

    Kupanga chumba na kukaa hostel kupi ni bora zaidi?

    Wadau kwanza namshukuru Mungu kwa kupata chuo hasa baada ya mwaka huu kuwa na ushindani mkubwa. Mimi ni miongoni mwa wanafunzi waliopita stashahada(diploma) na kupata GPA ya 4.6 niliomba udom na mzumbe na kupata course zifuatazo, udom nilipata Bachelor of Educational management and...
  7. Mhigwa one

    Gharama za fee na mambo mengine Mzumbe kwa undergraduate

    Wadau kwanza namshukuru Mungu kwa kupata chuo hasa baada ya mwaka huu kuwa na ushindani mkubwa. Mimi ni miongoni mwa wanafunzi waliopita stashahada(diploma) na kupata GPA ya 4.6 niliomba udom na mzumbe na kupata course zifuatazo, udom nilipata Bachelor of Educational management and...
  8. Mhigwa one

    Dawa za Kulevya: Nape aasa "Tusiwahukumu watu kwa Tuhuma, kubomoa brand ya mtu/taasisi ni sekunde"

    Hii vita ni ngumu na mwisho wake ni kupaka matope watu tukiwaambia katiba na sheria inavunjwa mnakataa. Kumbukeni baadhi ni maagizo toka juu sasa waziri atajichanganya nyuma ya makonda kuna mtu mzito sana mawaziri vita hii iacheni iendelee!
  9. Mhigwa one

    Lissu juu ya kauli ya Rais kwenye sherehe za Siku ya Sheria

    Am so stupid enough! Let stupidity be ma weapons to keep cool!
  10. Mhigwa one

    Mapapa 560 wa Madawa ya Kulevya watajwa. Wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz

    Ina maana wakuu wa mikoa wengine hawawezi kuiga hiki au mpaka mkuu wa majeshi aseme? Tofauti na hapo rais atangaze vita hii nchi nzima
  11. Mhigwa one

    Mapapa 560 wa Madawa ya Kulevya watajwa. Wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz

    NIKUOMBE IGP VITA HII IWE YA NCHI NZIMA MBONA HATA SHINYANGA KAHAMA WAPO WENGI TU WENGINE NI WATUMISHI WA UMA KABISA
  12. Mhigwa one

    Wahifadhi wamwambia Majaliwa, hakuna kaburi la Faru John

    No research no right to say! Ninaliona suala la kesi ya samaki waliovuliwa bahari ya Hindi linajirudia serikali isipoangalia itashindwa vibaya. Nakumbuka doctor mmoja wa mifugo aliniambia kuku wakifa na magongwa yasiyojulikana wanafukiwa lakini akifa kwa kupondwa tu na watoto hicho ni kitoweo...
  13. Mhigwa one

    MD TRADING COMPANY

    We deal with everything concerning CASTING pouring instead of welding innovation, Reverse Engineering and design, metallurgical proposal not only that we deal with different sector such as MARINE, DREDGING, THERMAL PLANT,CEMENT,MINES AND CRUSHER, CONSTRUCTION, EARTH MOVING SPARES( Bucket...
  14. Mhigwa one

    Tunalaani vikali na kutoa heshima kuu kwa kifo cha Alphonce Mawazo

    Ni kati ya taarifa zilizoniumiza sana
  15. Mhigwa one

    Prof. Mkumbo: We should not compare Magufuli with Mwl. Nyerere

    Katika uumbaji Mungu alifanya kitu kinaitwa exceptional uumbaji ulikuwa tendo takatifu sana ambalo kila kilichotengenezwa kilipewa upekee wake sasa mimi wakati mwingine nawashangaa sana mnapofananisha na kulinganisha utendaji kazi wa watu hautakuja kufanana kamwe na hapo exception huanzia! So...
Back
Top Bottom