Recent content by Mhesu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta machimbo ya Nafaka kanda ya Ziwa

    Hivi garama ya usafirishaji huwa ikoje mkuu Kama una uzoefu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta machimbo ya Nafaka kanda ya Ziwa

    Salam Wana jukwaa. Mimi ni mfanyabiashara. Natafuta machimbo ya nafaka Kanda ya ziwa na viunga vyake. Nataka nipate nafaka kutoka kwa wakulima moja kwa moja au wafanyabiashara ambao Bei zao ziko chini sana Nafaka ninazohitaji ni; 1 Karanga 2 Maharage njano 3 Dengu 4 Kunde, na 5 Njugu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini

    Lakini kelele za mitandaoni hazitasaidia chochote katika kuleta manadiliko. Mtapiga kelele weeeee lakini hakuna kitakachobadilika kutokana na kelele za humu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi Balozi Wetu Sweden, Mobhare Matinyi. Alichofanya Kiigwe na Kifanywe na Balozi Zetu Zote

    Kuna watu bado wanasoma magazeti?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tunapomaliza mwaka, tunaomba watalaam wa mambo ya kiroho mtuelekeze njia za kujitakasa na kufungua milango ya riziki

    Mwaka unaisha. Tunaingia mwaka mwingine. Katika maisha ya utafutaji, kuna vita nyingi, za kimwili na za kiroho. Kutiana nuksi, mikosi na kufungina riziki ni mambo yaliyojaa huku uswahili. Wakuu watalaamu wa mambo ya kiroho, tunaomba mtupe anglau formula za madawa ya kuoga kujitakasa kuondoa...
Back
Top Bottom