Recent content by mhemeavisogo

  1. mhemeavisogo

    JamiiForums Tanzania Saudi arabia wameingiza mapato 8 Billion usd kwenye mwezi wa ramadhani na EID kutoka kwa watalii milioni 122 waliokuwenda kusali ibada za Umra

    Sasa mnashindwa nini nanyi kuweka Makumbusho huko Isarael au Vatican ili muwe mnaenda kila nwaka ili kupiga hela....? Tatizo hamna dini moja na hamna ummoja, Yaani mwamposa akuruhusu uende Bethlehem yeye asipate chochote... Ndio maana huwa mapigwa kifala daily. Ila wengine kwenda Hijja na umra...
  2. mhemeavisogo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko njia panda na mwanamke huyu naomba ushauri wenu

    Kama huna malengo na rudisha hiyo 2M yake, Akija siku kugundua kuwa huna plan nae atatoa uchi kwa Maafande utalala ndani kama mbwa. Ushauri wangu harusi ni jambo la kheri chukua mzigo weka ndani umri ni namba tu Dogo.
  3. mhemeavisogo

    JamiiForums Tanzania Kampuni 3 za China zapendekezwa kujenga Barabara ya Njia 4 ya kulipia Tozo (Kibaha-Mlandizi-Chalinze)

    Waondoe kwanza foleni ya kutoka Ubungo hadi kimara mwisho.
  4. mhemeavisogo

    JamiiForums Tanzania Huu ni uonevu au njaa

    Kaazi kweli kweli......
  5. mhemeavisogo

    JamiiForums Tanzania Makongoro na ngozi za ng'ombe zimekuwa chakula kinachokidhi mahitaji ya Watanzania. Hali ya maisha ni ngumu

    Kuna kongoro inapikwa Mtwara nyuma ya stand kuu pale town...!! Wanapika wapemba wazee sio kifurushi ningewatumia na ninyi mjaribu.
  6. mhemeavisogo

    JamiiForums Tanzania Hey naombeni ramani ya kufika maeneo haya nakuja Dar Jumatatu

    Kuwa makini mzee, ukifanya masihara wajuba watasepa na kibunda hicho. Tafuta mtu mnae juana akuzungushe mjini.
  7. mhemeavisogo

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuona harakati gani za kusaka hela zikakushangaza

    Ila mjini watu wanaishi kwa akili sana aisee.
  8. mhemeavisogo

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kujenga fly over Magomeni na fire panueni barabara Kimara - Ubungo

    Hii barabara ya Kimara ni kero kubwa sana tu. Foleni yake si mchezo. Serikali ilione hili itusaidie wanannchi wake.
  9. mhemeavisogo

    JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Kampuni ya Yono yapigwa stop kuuza mali za Musiba

    Niguse ninuke...
  10. mhemeavisogo

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar us Salaama (Dar es Salaam) Tanzania kabla na baada ya mwaka 1868

    Historia nzuri sana hii...
  11. mhemeavisogo

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kumbe jicho langu la tatu liko wazi kabisa

    Jicho la tatu ndio lililo nileta hapa sio hizo habari zako zingine. Sawa wajuze waje muendelee....
  12. mhemeavisogo

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna safari za boat kutoka Dar mpaka Tanga?

    Muoombea Dua mzee Said Bakhresa Mungu azidi kumruzuku ataweka In sha Allah.
  13. mhemeavisogo

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini sio salama, kuna Watanzania wameuawa siku za karibuni

    Ukijichanganya kwa Manduna huchomoki, baadhi wa wabongo waliowengi wanaenda kule bila mishe maalum. Maisha yakiwapiga wanajikuta wameingia kwenye magenge yasiofaa. Hususani Durban kuna watega meli hao muda woote na vibeg mgongoni wanawaza kuzamia waende brazil au nchi nyingine. Hao 80 ni wa...
  14. mhemeavisogo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwl. Ndosi aliyefundisha Shule ya Msingi Muhimbili afariki dunia

    Huyu mwalimu pia aliwahi kufundisha Boma primary kama sikosei. Ilala Boma. Ndio akahamishiwa Muhimbili.
Back
Top Bottom