Recent content by Mhe McAmacy

  1. Mhe McAmacy

    Kenya waliiga architectural features za Tanzania parliament

    Haya basi tufungue uzi mwingine tujadili ni kwanini architect akawa mkenya.
  2. Mhe McAmacy

    What is this ,,Yes my Lord" ?

    I see Nothing wrong with that. Hivi Tz itakuwa...'Ndio bwanangu' ama?
  3. Mhe McAmacy

    $21.7 Million has been approved by AfDB for the Geothermal Project.

    C"bartaizo, post: 22450473, member: 151576"]We mjinga kweli kweli ebu convert hiyo $21milion kuwa shilingi kisha tuambie kwa nini haitoshi usiwe mropokaji fikiri 2 Timotheo:4.2 lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na...
  4. Mhe McAmacy

    50000 Spectators Showed Up to U18 larger Crowd than the IAAF has ever Recorded in its Existense

    Ni wikendi jamani! Hilo pia uambiwe? Wah, ujinga pia ni kipawa.
  5. Mhe McAmacy

    50000 Spectators Showed Up to U18 larger Crowd than the IAAF has ever Recorded in its Existense

    Hawa jamaa huu uzi umewatia wivu hadi wamerudi tu kwa discussion zao za kitambo... Hahaaaa. Wanajaribu kukojolea thread lakini wapi.
  6. Mhe McAmacy

    IAAF yadorora huko Nairobi

    Eti watu wamekaa kinyonge?! Dude have you even been following the athletics ama wewe watype tu kwa sababu unataka kushinda argument.
  7. Mhe McAmacy

    IAAF yadorora huko Nairobi

    Haya, leo ni Sato hakuna vile stadi ingekuwa empty.
  8. Mhe McAmacy

    IAAF yadorora huko Nairobi

    Waah, si leo Kasarani kumeshika.
  9. Mhe McAmacy

    Naivas races ahead with plans for seven new outlets

    We hujifanya expert kwa kila, nakummat We hujifanya expert on all Kenyan companies and businesses kisha ukigundua hajui, unakunja mkia. Nakumatt's demise is from a big rot from the inside, sasa wewe hata sijui mbona unajaribu kutag Tz ya nini.
  10. Mhe McAmacy

    Naivas races ahead with plans for seven new outlets

    Kuna vile prices zao husuit raia wa kawaida. Ama si wanunue tu Nakumatt...kwa bei ya jioni.
  11. Mhe McAmacy

    Wataalamu wa umeme wa mabwawa toka Ethiopia wamefika Tanzania kwa mazungumzo

    Vipi ule mpango wa kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia Somalia na Bahari hindi umefika wapi? Mazungumzo bado yanaendelea?
  12. Mhe McAmacy

    Maonesho ya Biashara ya Sabasaba Dar es Salaam 2017

    Hii sijui ni nini na inatuhusu vipi wakenya. Hapa ni kusoma tu na kupita bila kujibu. Ama wacha tu... Nishajibu.
  13. Mhe McAmacy

    Diaspora wa Kenya wazidi kutuma hela kwa wingi nyumbani

    Data zimetoka CBK na KNBS. wewe hata hujasoma ukaelewa unadhani tu ni mtu katuma/katumiwa pesa kisha kajitangaza. Hata huyo Mohammed Dewji leo CBK(kama ni Kenya) wakitaka data zake zote za benki watazipata hadi kwa shilingi ya mwisho, hamna cha siri yake. Soma taarifa uelewe sio kukurupuka tu.
  14. Mhe McAmacy

    Mombasa Governor Joho barred from attending SGR launch ceremony

    Really, "endelea kumeza mate sisi tayari tunakula nyama" ~Rais Uhuru
  15. Mhe McAmacy

    What does absence of COW at SGR launch mean?

    Hahahahaaa Today is the official SGR Day, no bullshit. Any form of diversion from the main theme shall be countered effectively. Maximum compliance is required, thank you.
Back
Top Bottom