Diaspora wa Kenya wazidi kutuma hela kwa wingi nyumbani

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,238
50,415
Hongera sana ndugu zetu mlioko huko nje, muendelee kukumbuka +254 ndio nyumbani.

----------------------------------------------------------------

Diaspora remittances in the first quarter of the year rose by four per cent compared to a similar period in 2016, bucking a falling trend in other African economies.

Latest Central Bank of Kenya (CBK) data shows that the remittances in the first three months of the year totalled $432.6 million (Sh44.7 billion) compared to $415.6 million in quarter one of 2016 (Sh42.1 billion at the March 2016 exchange rate).

Last year, Kenyans abroad sent home a total of $1.72 billion (Sh178 billion), making the remittances the largest source of foreign exchange for the country ahead of tourism and horticulture.

“Remittances continue to do well and are now at just a little less than 2.5 per cent of our GDP. They have grown even as remittances to sub-Saharan Africa fell by six per cent in 2016,” said CBK governor Patrick Njoroge last week.

The year-on-year growth rate of first quarter remittances is, however, the slowest since 2013, when they grew by 2.9 per cent compared to 2012.

There were fears that remittances from abroad would take a hit following the election of Donald Trump as US President.

He promised a tough anti-immigrant stance in his campaigns.

His administration has, however, not carried out any mass deportations of foreigners living illegally in the US. Kenyans are estimated at 30,000.

North America is the primary source of Kenyan diaspora remittances, providing nearly half of all the money sent home from abroad.

The rising remittances have provided a useful source of foreign exchange for the country, helping raise reserves as well as keep the shilling stable.

“The country has ample buffers in forex reserves, which are at an all-time high levels, and the IMF precautionary facility, giving us room to manoeuvre in case of future shocks,” said Dr Njoroge.

The shilling has depreciated by 0.7 per cent since the beginning of the year, while the current account deficit, which stood at -5.2 per cent at the end of last year, is expected to remain below -6 per cent this year.

Kenya tops as a sub-Saharan diaspora remittance destination behind Nigeria and Senegal.
Diaspora remittances rise to Sh44.7bn in Q1
 
8b2a7201c54c2a024aa6bc1e955d15d4.jpg
Na hii je?
 
Watz wanatuma pesa tena sana sema hawapendi sifa ya kujionyesha...pili huwezi jua kama MTU anatumia pesa au rahasha ila pesa ya MTU ni siri nyie wakenya kama mnajigamba mnatuma pesa ni sifa tuu lakn hakuna kitu.....Leo nikikuuliza Mohammed dewji anatoa bank pesa take muda gan utaniambia??? Hakuna coz kutuma na kutoa pesa ni siri ya MTU na siyo sifa kuingia ATM na kukaa pembeni ili ukitoa pesa basi walioko pembeni waone umetoa pesa nyingi.....

Sifa kubwa ya wakenya ni kutafuta sifa za kijinga....mtasubiri sana
 
Jadili mada kama mtu aliyebahatika kwenda shule, wewe unafikiria hapo kila ukitoa pesa hakuna sehemu takwimu zako zinakusanywa. Kwanza elewa kila unapotuma hela kama wewe ni diaspora, huwa zinafuatwa kwenye mifumo unayotumia, labda kama umezoea kutuma kiujanjanja kama mlivyo wengi wenu.

Diaspora wa Kenya wanatuma hela nyingi sana kirasmi maana wengi wao sio wabeba mabox kama nyie huko kwenye nchi za watu.
 
Data zimetoka CBK na KNBS. wewe hata hujasoma ukaelewa unadhani tu ni mtu katuma/katumiwa pesa kisha kajitangaza.
Hata huyo Mohammed Dewji leo CBK(kama ni Kenya) wakitaka data zake zote za benki watazipata hadi kwa shilingi ya mwisho, hamna cha siri yake.

Soma taarifa uelewe sio kukurupuka tu.
 
Jadili mada kama mtu aliyebahatika kwenda shule, wewe unafikiria hapo kila ukitoa pesa hakuna sehemu takwimu zako zinakusanywa. Kwanza elewa kila unapotuma hela kama wewe ni diaspora, huwa zinafuatwa kwenye mifumo unayotumia, labda kama umezoea kutuma kiujanjanja kama mlivyo wengi wenu.

Diaspora wa Kenya wanatuma hela nyingi sana kirasmi maana wengi wao sio wabeba mabox kama nyie huko kwenye nchi za watu.

Utadhani umewahi kuishi mamtoni, Wakenya wengi kama ilivyo kwa Waafrika wengine ni wabeba maboksi. Punguza kukurupukia vitu usivyovijua. Mbeba boksi wa ughabuni ana jeuri kubwa ya pesa kuliko wahandisi, madaktari na wengineo wanaoishi Afrika.
 
Watz wanatuma pesa tena sana sema hawapendi sifa ya kujionyesha...pili huwezi jua kama MTU anatumia pesa au rahasha ila pesa ya MTU ni siri nyie wakenya kama mnajigamba mnatuma pesa ni sifa tuu lakn hakuna kitu.....Leo nikikuuliza Mohammed dewji anatoa bank pesa take muda gan utaniambia??? Hakuna coz kutuma na kutoa pesa ni siri ya MTU na siyo sifa kuingia ATM na kukaa pembeni ili ukitoa pesa basi walioko pembeni waone umetoa pesa nyingi.....

Sifa kubwa ya wakenya ni kutafuta sifa za kijinga....mtasubiri sana

Budda, hapa umejiabiisha kidogo. Pesa zinazoingia nchini kutoka nchi nyingine ni lazma itajulikana, unless ni kwa magendo.

Iwe siri namna gani wakati tunajua Tanzania ilipata hela ngapi kutokana na mauzo yake ya chai? Nchi pia hujipatia fedha kutokana na raia wake walio ng'ambo kutuma pesa nyumbani, na kuna mifumo, hasa ya kielektroniki inayotumiwa kufuatilia pesa hizo.
Kwanza hizo pesa hufwatiliwa sana ckuizi juu ya hali ilioko kiusalama, isiwe ikaishia kuwafund malqaeda na mpagaboy wanaopanga mambo nchini au ni kutokana na mihadarati.

Lakini hayo ya usalama kando, ukuaji wa kiuchumi pia hupimwa kwa hela za kigeni zinazoingia nchini, na hilo ndilo sababu kuu ya kufuatilia hizo fedha.
 
Meanwhile in Tanzania serikali imekataa dual citizenship na haiwatambui waTZ wanaoishi nje kama resource ya investment
 
Meanwhile in Tanzania serikali imekataa dual citizenship na haiwatambui waTZ wanaoishi nje kama resource ya investment

Hakuna uhusiano wa dual citizenship na kutuma pesa nyumbani. Dual citizenship haina faida hata moja kwa Tanzania, ni ubinafsi tu wa baadhi ya diaspora.
 
View attachment 566354

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Salum Maulid Salum, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya kongamano la nne la kitaifa la Watanzania wanaoishi nje litakalofanyika tarehe 23 na 24 Agosti hapa Zanzibar. Hafla hiyo imefanyika Ikulu mjini Zanzibar.

Mkurugenzi wa PPR Pascal Mayalla akiuliza suali katika mkutano na waandishi wa habari uliozungumzia Kongamano la kitaifa la Watanzania wanaoishi nje uliofanyika Ikulu mjini Zanzibar.

Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi Bi. Adila Hilali Vuai akijibu masuali yaliyoulizwa na wandishi wa habari kuhusu maandalizi ya kongamano la kitafa litalofanyika tarehe 23 na 24 Agosti hapa Zanzibar. (kushoto) Muandishi wa habari Rahma Suleiman wa Chuchu Fm Redio.
Picha na Makame Mshenga.
Wanabodi.

Declaration of interest. Japo mimi Paskali Mayalla sio mwana Diaspora, bali nimewahi kuishi nje kwa muda mfupi mfupi katika nchi mbalimbali, na nimewahi kufanya kazi tena sio kubeba box, bali kubeba zege ndani ya jiji la London, hivyo nina mwanga kidogo kuhusu diaspora, ila kwenye hili
Kongamano la Nne la Diaspora, litakalo fanyika Zanzibar, tarehe 23 na 24 Agosti, I have a role to play.

Hivyo hili ni bandiko la kuomba ushirikiano wenu, kwa ushiriki wako kwenye kongamano hili, physically or by proxy, ili kutoa mawazo yako Tanzania ikusaidiaje ili kukuwezesha wewe kuisaidia nchi yako.

Tanzania itajengwa na Watanzania wote wakiwemo wana diaspora. Kitu cha kwanza ni kuomba ushiriki wako physically kwa wale wenye nafasi to make it home, wajisajili kupitia
DIASPORA: Home Page
or
4TH Tanzania Diaspora Conference 2017 - Diaspora and SMEs ...

Kwa wale ambao hawatapata nafasi ya kuwepo physically, wanaweza kushiriki by proxy, kwa vile dunia sasa ni kijiji kimoja, wanaweza kushiriki by proxy.

Kwanza The Official Opening ya Kongamano lenyewe litatangazwa live za TV za Tanzania. Pili tutatangaza live kupitia video streaming kwenye youtube hivyo wana diaspora wote wenye nafasi wanaweza kufuatilia kupitia youtube, facebook, tweeter na mitandao ya kijamii.

Hapa naomba ushirikiano wako tujadiliane how to reach you out ili tupate maoni na mawazo yako, Tanzania ikusaidiaje wewe mwana Diaspora ili uweze kuisaidia nchi yako?.

Uzalendo sio kujiuliza "Tanzania Ikusaidie nini, bali ni wewe kujiuliza jee nimeisaidia nini nchi yangu Tanzania?". Kwa vile wana diaspora wengi wako nchi za nje na wamepata bahati ya kupata exposure kubwa, tunaomba mawazo yenu, Tanzania iwasaidieje ili muweze kuisaidia nchi yako Tanzania.

Natanguliza Shukrani.

Pascal Mayalla
+255 784 270403
pascomayalla@gmail.com
 
Eish hizo za Kenya ni $1.7bn pekee? Wacha niende kazini kuingiza $$$ sababu wa Filipino wanaotuma $25b per year nyumbani kwao wametuwacha nyuma sana sana.
 
Eish hizo za Kenya ni $1.7bn pekee? Wacha niende kazini kuingiza $$$ sababu wa Filipino wanaotuma $25b per year nyumbani kwao wametuwacha nyuma sana sana.
But Philippines is larger than Kenya, with more than 10% of its 130mn pipo living in the diaspora, primarily in the US.
 
Back
Top Bottom