kwani ni ndugu wote wanaohitaji msaada?? wangine yaweza kuwa ni matembezi tu! lkn km ni msaada bhac asaidiwe hukohuko aliko!! pia jambo hili mm nilihusisha na kipato kidogo, maana mtu anapoingiwa na roho ya uchoyo ndo bifu linapoanza!!
siku zote anayeomba anahitaji msaada! hivyo kama una uwezo wa kutoa, toa tu!! maana hiyo tabia huenda inatokana na khali ngumu ya maisha!! binafsi mm napenda kusaidia watu kama hao.!
kwani mji upo dar tu? mbona tz tuna majiji matano!? pia kuna watu waliwahi kufika na kuishi majiji makubwa duniani zaidi ya dar! NEW YORK, TORONTO, BIRMINGHAM, PARIS n..k, hivyo hiyo point yako, inakosa mashiko kwa upande wangu, sorry in advance since my intention....
mm mwenyewe nikipendwa sana, naanza kuona bora kuwa single, coz huyo mtu anataka kunimonitor hata zaidi ya wazazi wangu, mara, hooh, umeshakula, umekula nn, unafanya nn, kwa nn haujalala, n.k "...
cyo kwamba hawana kazi za kufanya! no wadada wa disign hiyo wanawaibia muda waajiri wao, au hata kama wamejiajiri wanajiibia muda! just kuchanganywa na mapenzi, full kudata!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.