Recent content by Mhaya

  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wakuu Tujifunze Kuendesha Ndege Tuepuke Vifo Vya Kipumbavu

    Kwenye... multi tasking au multi skills ni kitu kinachotushinda wabongo... Mzungu unaweza kumkuta leo ni engineer wa ujenzi kesho kutwa kabadili fani amekuwa Pilot au anafanya kazi shirika la NASA safari za mwezini. Bongo ukishakuwa mwenyekiti wa mtaa, unataka uwe mwenyekiti wa mtaa mpaka uzeeni
  2. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wakuu Tujifunze Kuendesha Ndege Tuepuke Vifo Vya Kipumbavu

    🤣🤣🤣🤣 Sasa hii si utaua abiria wote
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wakuu Tujifunze Kuendesha Ndege Tuepuke Vifo Vya Kipumbavu

    Ndio hiyo inaeleweka vyema, ndege sio bajaji au scooter.... cha msingi ni kujua basic na namna ya kuwasiliana na ATC
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wakuu Tujifunze Kuendesha Ndege Tuepuke Vifo Vya Kipumbavu

    Hakuna mnemba hapo
  5. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wakuu Tujifunze Kuendesha Ndege Tuepuke Vifo Vya Kipumbavu

    Alikuwa anaendeshwa...
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wakuu Tujifunze Kuendesha Ndege Tuepuke Vifo Vya Kipumbavu

    Sasa huyo Dada yako Idd Amini yuko wapi sasa hivi na kaisaidia nini Uganda
  7. Mhaya

  8. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wakuu Tujifunze Kuendesha Ndege Tuepuke Vifo Vya Kipumbavu

    Hata Simulators mpaka waje watu wa mitahara... Simulator ni wewe na computer na vifaa vyako tu
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wakuu Tujifunze Kuendesha Ndege Tuepuke Vifo Vya Kipumbavu

    Nice... tukikupa Bombardier kwenye emergency unaweza sukuma bila shida?
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wakuu Tujifunze Kuendesha Ndege Tuepuke Vifo Vya Kipumbavu

    Kama ilivyo siku hizi, karibu kila mtaa kuna dereva wa gari au pikipiki. Ni vyema tukajitahidi kujifunza hata basic za ku-control ndege. 😂 Unakuta pilots wamepigana au wamekufa, nyie abiria mnaangalia tu. Mnashindwa hata mmoja kushika controls kwa sababu hakuna anayejua kuendesha ndege. Mwisho...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Jamiiforum sasa rasmi kutumika bila VPN

    Mods waliuzuia, leo ndio wameachia
  12. Mhaya

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Ndege gani hiyo, labda ndege john
  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Hofu kwa wanamtegemea au kutegemea biashara zake, alioungia nao mikataba na deals mbalimbali
  14. Mhaya

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Jamaa kafanya kazi na Marais wengi Africa
Back
Top Bottom