Recent content by Mhamasishaji

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Zitto na wenzake: CHADEMA amueni kusuka au kunyoa!

    Kila mtu anahaki ya kusikilizwa....naamini Zitto akipewa haki hii ya kusilizwa hatafanya kosa....atasikika kilio chake juu ya Demokrasia#Zitto na Demokrasia#
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Bumbuli asimamishwa uongozi

    Chadema bado wanahitaji ukomavu wa kisiasa kwa sasa kama upepo utaendelea hivi bado2015 tunaweza shuhudia maajabu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

    Rage sasa bifu limepungua makali!!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dk. Reginald Mengi: Waziri Muhongo ni muongo, takwimu zake za uongo pia!

    Bwana Mengi hawajamaa wamekua sio wakweli kabsa sijui kuna tatizo gani......yaani sasa hizo maliasili za watanzania sinaganyiwa ujanja ujanja sio nzuri na watambue tu siasa sio uongo wanapoumbuka wanakua wamechafuka kabsa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    Hakukua na unafuu wa maisha zaidi ya wao kuachia nafasi hizo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msigwa alisomea wapi uchungaji?

    Mchungaji ni karama inayokuja baada ya kuwaaminisha watu juu ya uwepo wa Mungu
Back
Top Bottom